Ukijiunga na VETA ngazi ya Level 1&2 unasoma Physics kule inaitwa Engineering Science. Ukifaulu mtihani wa CBA (Competence Based Assessment) unapata VC2 kigezo cha kukufanya ujiunge na Level 3 ambapo utasoma masomo 5 pekee, somo la Physics halipo kwa ngazi hiyo. E/L ina hesabu zake sio kuanza...
M
Mshukuru sana huyo Mzee,alikufunza kuwa maisha Si Mepesi. Bila yeye kufanya hivyo usingepata hasira ya kupambana na kupambana kwako haimaanishi kuwa unamkomoa Bali unajisaidia wewe mwenyewe. Rudi mshukuru na umnunulie soda bariidi.
Ingia Facebook tafuta group linaitwa TIBA ASILI mule ndani utapata mawazo na ushauri huenda hata TIBA. Ingia pia TIKTOK tafuta mtu anaitwa TazPlatinumz ni Mtaalam wa tiba jaribu kumfatilia. Hajawahi kunitibu na sijui km ni tapeli au mganga kamili. Pitia page yake utafiti mwenyewe.
NB: CHUNGA...
TANESCo hasa MAKAO MAKUU mnajitahidi sana kutoa huduma Kwa wateja. Sijawahi kukosa huduma Toka MAKAO MAKUU na shida yangu inatatuliwa Kwa uhakika. Najua hakuna kizuri kisichokosa kasoro, Kwa Yale mapungufu mjitahidi kurekebisha.
Muwe mnatembelea kurasa zao, mbona walitangaza mapema kuwa Trh. 27 usiku Hadi 28 Asb kutakuwa na maboresho kwenye mfumo wa LUKI hivyo mteja anunue umeme mapema kabla haujaisha kuepuka usumbufu(kukosa umeme). Kwa hili hawapaswi kulaumiwa.
Binafsi nilihitimu Shahada ya sanaa 2016 (Mwl. Wa Kisw&Hist)nikakosa ramani mtaani ikanibidi niingie VETA kusoma umeme wa majumbani Kwa miaka miwili (kozi ndefu) namshukuru Mungu sikosi ya vocha, nimejiajiri na nimeajiri vijana. Kwa Sasa nimerudi tena VETA mwaka wa 3 kusoma umeme wa viwandani na...
Binafsi nilihitimu Shahada 2016 nikakosa ramani mtaani ikanibidi niingie VETA kusoma fani ya Umeme wa majumbani Kwa miaka miwili(kozi ndefu). Namshukuru Mungu Kwa Sasa nimejiajiri na nimeajiri vijana. Kwa Sasa nimerudi VETA kusoma umeme wa viwandani mwaka wa 3.
Jiongeze kutafuta ujuzi...
Binafsi nawapongeza TANESCO MAKAO MAKUU kwa kazi nzuri ya kuhudumia wateja kila napohitaji msaada mnahudumia kwa haraka sana. Pia napongeza TANESCO yenu ya wilaya ya TARIME mkoani MARA nao wapo vizuri wanajitahidi mno
SWALI
Umeme vijijini ni 27,000 kwa upande wa nguzo, mimi nipo kijijini...
Siwezi kuchukia, kuna mchungaji mmoja napenda kufatilia speech zake anaitwa Mch.Mitomingi(Marehemu kwa sasa) ansema UKIMPATA Kazi napiga sana, nikiwa free napitia pitia social networks kuona kilichomo mura weito na kupumzisha akili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.