Recent content by Single D

 1. Single D

  Yuko wapi Rama mla watu?

  Angalia hapa https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/457099-rama-mla-vichwa%92-na-mamake-wauaji-kuachiwa-huru-kwazua-utata.html
 2. Single D

  Yuko wapi Rama mla watu?

  Mbona waliachiwa huru yeye na mamaye May 2013
 3. Single D

  Mitandao ya Simu KERO..KEROOO, WIZI MTUPU!!!

  Hii mitandao wizi tu,wala hakuna cha promosheni,ukiwa hata na salio ndani ya simu ndo ugonjwa wa moyo,yaani wanakwangua kabisa.TIGO ndo balaa kweli
 4. Single D

  Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini afariki dunia

  Mungu amweke Askofu Thomas Laiser mahali anapositahili
 5. Single D

  Ccm yapata mwenyekiti mpya mkoa wa Kilimanjaro

  Tom Ngawaiya amepata alichokitafuta huko,sasa anakataa kusaini wakati matokeo yameshatangazwa,rufaa ataipeleka wapi?Rudi nyumbani matimila toka huko.
 6. Single D

  Manumba: Polisi lipizeni kisasi

  Kwa kauli za namna hii vita kati ya polisi na wananchi hazitakwisha.
 7. Single D

  "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

  Huyu ndo alikuwa Tabora anatimiza maagizo ya waliomtuma kwenye chaguzi zile,leo yuko kalasi duh!Tunasubiri tume ya nchimbi
 8. Single D

  vurugu za mbagala katika picha

  Mbona maandamano kila ijumaa tu?Haya masuala yasipodhibitiwa yataleta uvunjifu wa amani.Serikali dhaifu...............
 9. Single D

  Encouraging news about Dr Ulimboka!

  get well soon
 10. Single D

  Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

  It's what happens when you have Serikali dhaifu isiyojali na kusikiliza.Wataamka baadaye wakati maisha ya wagonjwa yalishaishia kuzimu.:embarassed2:
 11. Single D

  Farewell-Kwaheri Regia: A Tribute Page

  Our thoughts are with you at this time of great sadness Rest in peace Regia Mtema
Top Bottom