CCM haipo tena jamani,lazima muelewe hivyo.Tumeshawashtukia kwani hata wakifanya hivyo baada ya uchaguzi mtindo utakuwa ni ule ule.So me naona wakae tu pembeni
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ooh! Jamani mnatia huruma nyie,,mmekosa kabisa cha kuandika humu.Poleni sana jamani.Ila mnajiangaisha tu bure
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Inaonekana wazi kwamba wewe si binadamu wa kawaida.Jamani wana jf kuweni makini na huyu mtu nahisi atakuwa ni pepo la uchonganishi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.