Acheni ujinga, kongamano la katiba litatusaidia nini kwa wakati huu?
Shida zetu wenyewe ni kongamano tosha.
Wote ni wachumia tumbo, sijaona wa kumtetea mwananchi hapo, shida ni kutaka kutawala tu ,hawana jipya.
Sasa ndio mjue madhara ya kuruhusu msongamano sokoni eti kwa kisingizio cha wanyonge soko limekaa kiajali ajali tu.
Miundo mbinu yote ya soko ilikwisha haribiwa ,wala hakuna anayejali kama kuna janga linaweza kutokea kama vile moto nk.
Siasa imeturudisha nyuma sana kimaendeleo, viongozi...
Wapigwe tu hakuna namna!
Mbona JPM hawakumchezea, hadi wakakimbia nchi. Huyo Mbowe karudi tu baada ya msiba nae alikwisha kimbia nchi.
Nawashangaa wanachama wa Chadema, viongozi wanawakimbia kujitengenezea hifadhi na kuwaacha wao wakitaabika na maisha huo ni ulaghai ,amkeni Chadema , hakuna...
Mbowe asidhani kwamba sasa anaweza kuichezea serikali atakavyo, yeye ni nani katika nchi hii?
Watanzania wana matatizo yao kibao, hajawahi hata siku moja kuwasaidia wananchi hata kwa hoja tu ili tumuone kweli ni mpigania wananchi,sasa ni kipindi cha kulipa ada za wanafunzi lakini hilo halioni...
Ndugu , Key performance Indicator ni Rais kuzunguka nchi nzima na kusikiliza kero za wananchi?
Naomba uwe muelewa , usilete cheap politics katika awamu hii ya sita.
Wateule wapo kwa ajili ya nini?
Wananchi wanaishi kwa kero tu?
Hawana shida na maendeleo?
Zungumzia tunawezaje kuipaisha nchi...
Ndugu mleta uzi, inaonekana wazi una chembe za uchochezi katika fikra zako.
Hii ni hatari kwa afya ya Taifa letu, nyinyi ndio wale wasababishi wa mauaji ya kimbari endapo hamtadhibitiwa, muda wote unataka kutengeneza mtafaruku katika nchi, hii haikubaliki, tunataka amani.
Wewe unaufahamu...
Lema ni mkimbizi, afanye shughuli za wakimbizi huko,maji yalimzidi akayakimbia.
Afahamu kuwaTanzania ni sovereign state,inaendeshwa kwa katiba,sheria ,kanuni na taratibu ilizojiwekea ,yeye alikwishahamia nchi nyingine, mambo ya Tanzania ayaachie watanzania wenyewe wanaoishi Tanzania kila mwaka...
Siasa na udalali wa kisiasa
Umalaya wa kisiasa
Kazi ya uchuuzi wa bidhaa
Udalali
Boda boda
Uvivu na kuishia makanisani badala ya kufanya kazi.
Roho mbaya
Hasad
Fitina
Uongo
Uzushi
Wivu
Saa ngapi wabongo watawekeza kwenye nchi nyingine?
Chuki imezidi kwa Job ,punguzeni jamani!
Nyinyi mko perfect?
Acheni hizo, be reasonable, acheni unazi.
Mnakera, yeye si angel, kuna wakati anafanya yasiyopendeza na pia kuna wakati anafanya yanayopendeza. Tuvumiliane!
CHADEMA hamsomeki, hakuna vision wala mission, mnaendesha Chama kama familia ya mtu.
Uonevu na uzandiki ndio kazi yenu, hao akina mama mlikuwa mnawabania ili iweje?
Sheria inasemaje?
Mbona mnatoana macho bila sababu?
Tafsiri ya sheria ifanye kazi.
Pia point ya double standard ni muhimu kuizingatia, kwa nini zoezi la vyeti fake halikugusa baadhi ya kada?!
Ukitaka mbwai na iwe mbwai kwa wote, sio kwa kundi fulani tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.