Huyu kashakuwa ZumbukukuSpika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote.
Ndugai amesema "inatakiwa tujifunze kwa Nchi za wengine ambapo Mtu huwa anaitwa kituoni na kufanyiwa mahojiano kisha kuruhusiwa kurudi nyumbani kwasababu anafahamika na hawezi kukimbia. Huku ukishakuwa Askari tunaona kuweka Watu ndani ni raha".
Ameongeza "Hiki kitu binafsi kinaniuma sana. Mtu anawekwa ndani wiki nzima au mwezi halafu baadae anakuja anaachiwa wakati shughuli zake nyingi zimeshasimama. Sheria nazo hata ukitoka huwezi kudai chochote, Waafrika hatuthaminiani".
Sheria zipo lakin polisi hawafatiKwanini wasitunge sheria kuzuia hali hiyo, au mpaka Rais aseme.
Practise ni zero ikiwa maagizo ni kutoka juu. Huko juu ndio kunatakiwa kudhibitiwa.Sheria zipo lakin polisi hawafati
Tatizo most of our laws are based in theories lkn practice ni zero
Tafuta criminal procedure act
Anataka kujisafisha ni mnafiki sana huyo mgogo.Sijaona tofauti yake na hao polisi anaowasimanga
Hii huweza kuwa ni sababu mojaPractise ni zero ikiwa maagizo ni kutoka juu. Huko juu ndio kunatakiwa kudhibitiwa.
Bunge ndilo linalotunga sheria na kuzipitisha na bunge ndilo pia linaloridhia mabadiliko ya sheria na kuyapitisha. One way of solving a problem is to name it.Spika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote.