GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,417
- 108,519
- Thread starter
- #41
Endelea Kujidanganya kuwa hufahamiki.Huna unalolojua. Kesho kaongoze maandamano kuelejea FCC Mo anataka kuporwa team
Endelea Kujidanganya kuwa hufahamiki.Huna unalolojua. Kesho kaongoze maandamano kuelejea FCC Mo anataka kuporwa team
Kidogo nimekuelewa kwa Hoja tukuka.Mkuu Genta. Salamu kwako. Niseme tu kwamba vyeti feki nikosa la kisheria. Ila, kwa namna lilivyokuwa implemented kibaguzi nasema hapana. Tena hapana narudia. Wakati wafanyakazi wengine wanasulubiwa eti uzio ulijengwa ili makonda na wanasiasa wengine, polisi na jeshini ambako ndo kuna mavyeti feki mengi eti wasiguswe. Hapo ndipo radha ya hilo zoezi ilipo haribikia
Hehehehe.Endelea Kujidanganya kuwa hufahamiki.
Ukitoka hapo utapitia njia ya kule nyuma kama unaenda Silver Pipe ( Hotel ya Hanspoppe ) ili utokee pale Triple Seven au utapitia hii ya hapa Jirani na ulipo ( mlipo ) Lugalo Golf Court ili ukatokee zako Kawe?Hehehehe.
Unajipa umuhimu usiokuwa nao. Takataka kabisa.
Sasa wewe hata ukinifahamu utanifanya nini wewe mbwiga??
Kabisa hata mie naunga mkono hoja, hawa ni binadamu kama wengine, je ndo tuseme hata wabunge waliopita kwa kuiba kura wasipate kiinua mgongo?Mama jana kasema tusiwe watumwa wa sheria maana sheria zipo kwa ajili yetu wanadamu
Namuomba mama Samia kwa huruma yake na utu wake, awalipe chochote kitu watu wa vyeti feki maana ni kweli walihudumu na jasho lao lipo ktk kazi waliyofanya.
Sisi wenyewe tusio na vyeti feki hatujakamilika, hata wanasiasa nao hawajakamilika maana wao kufanya udanganyifu katika masuala ya kura ni jambo la kawaida
Watalupwaje wakati wameibia serikali.acheni ushabiki went.mwizi ni mwizi wanaolipwa ni wale wa darasa la saba tu Acheni kuchanganya madesa.Wale wa vyeti feki michango yao waliyochangia kwenye mifuko ya Hifadhi kiubinadamu walipwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes; there is some controversy. This needs clarification.Kwako Ndugu na Kamarada ( Comrade ) Gerson Msigwa ( Msemaji wa Rais Ikulu ) ambaye najua pia kuwa huwa unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums ( tena 24/7 ) hebu ama hapo ulipo nae sasa umuulize Mama au lifafanuliwe vyema nawe kwani ninayoanza kuyaona kwa 'Wahanga' nalo huku Mitaani ni makubwa.
Kuna Dada ( aliyekuwa Mwalimu katika Shule moja maarufu sana Wilaya ya Kinondoni ) ambaye ni 'Mhanga' wa kukutwa na 'Vyeti Feki' tokea asikie Taarifa hi 'Tata' sasa anazunguka Mitaani hasa kwa wale Watu waliomcheka Yeye Kukosa Ajira hiyo akiwa ameshika Chupa ya K-Vant na 'anawakoga' kwa Kuwaambia kuwa 'Watamkoma' akilipwa ( akizikamata ) Pesa zake ambazo Mwenyewe 'anatamba' kuwa atalipwa kati ya Tsh 45 Milioni hadi Tsh 55 Milioni.
Tafadhali lifafanuliwe haraka lijulikane.
This issue is similar to demanding a kilo of flesh without blood. The president has to apply the concept of "creative accounting or dying a little" to resolve the dilemma.Mama jana kasema tusiwe watumwa wa sheria maana sheria zipo kwa ajili yetu wanadamu
Namuomba mama Samia kwa huruma yake na utu wake, awalipe chochote kitu watu wa vyeti feki maana ni kweli walihudumu na jasho lao lipo ktk kazi waliyofanya.
Sisi wenyewe tusio na vyeti feki hatujakamilika, hata wanasiasa nao hawajakamilika maana wao kufanya udanganyifu katika masuala ya kura ni jambo la kawaida
Usisahau: Na "PhDs" nyingi ni fake.Sheria inasemaje?
Mbona mnatoana macho bila sababu?
Tafsiri ya sheria ifanye kazi.
Pia point ya double standard ni muhimu kuizingatia, kwa nini zoezi la vyeti fake halikugusa baadhi ya kada?!
Ukitaka mbwai na iwe mbwai kwa wote, sio kwa kundi fulani tu.
Fruits of a poisonous treeJe unamuelezeaje Surgeon aliyekuwa anaitwa Hamis Mahimbo akiwa Form IV na hakuchagukiwa kwenda Form VI kwa vile hazikutosha.
Ila akatumia cheti cha Francis Kimambi kwa scholarship ya Cuba kusomea Degree ya udaktari hadi kuwa surgeon. Ametibu na kupasua wagonjwa kwa miaka zaidi ya 25. Akiwa kabakiza miaka 3 kustaafu naye kaorodheshwa kwenye vyeti FAKE kwa sababu ya cheti cha Form IV, licha ya kwamba yeye Hamis Mahimbo ndiye aliyekaa miaka zaidi ya 9 akisomea udaktari kama Francis Kunambi
Lakini aliowatibu na kuwafanyia upasuaji wapo wanaishi
Uhalifu ni pamoja na kuchukua fedha bila hukumu ya mahakama au kibabe.Kuutetea Uhalifu na Wahalifu ni Ujuha.
Kwako Ndugu na Kamarada ( Comrade ) Gerson Msigwa ( Msemaji wa Rais Ikulu ) ambaye najua pia kuwa huwa unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums ( tena 24/7 ) hebu ama hapo ulipo nae sasa umuulize Mama au lifafanuliwe vyema nawe kwani ninayoanza kuyaona kwa 'Wahanga' nalo huku Mitaani ni makubwa.
Kuna Dada ( aliyekuwa Mwalimu katika Shule moja maarufu sana Wilaya ya Kinondoni ) ambaye ni 'Mhanga' wa kukutwa na 'Vyeti Feki' tokea asikie Taarifa hi 'Tata' sasa anazunguka Mitaani hasa kwa wale Watu waliomcheka Yeye Kukosa Ajira hiyo akiwa ameshika Chupa ya K-Vant na 'anawakoga' kwa Kuwaambia kuwa 'Watamkoma' akilipwa ( akizikamata ) Pesa zake ambazo Mwenyewe 'anatamba' kuwa atalipwa kati ya Tsh 45 Milioni hadi Tsh 55 Milioni.
Tafadhali lifafanuliwe haraka lijulikane.
Kuna Watu nilikuwa nikiwaheshimu sana hapa JamiiForums hasa kwa Michango yenu ila taratibu sasa kwa kuja na Hoja zenu zenye Huruma za Kinafiki kwa 'Wahalifu' niseme tu kuwa nitaanza Kuwadharau na kuwaona ni 'Hopeless' wakubwa tu.
Kuna umuhimu wa kulitolea ufafanuzi hilo swala ni kweli mtaani kuna mkanganyikoKwako Ndugu na Kamarada ( Comrade ) Gerson Msigwa ( Msemaji wa Rais Ikulu ) ambaye najua pia kuwa huwa unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums ( tena 24/7 ) hebu ama hapo ulipo nae sasa umuulize Mama au lifafanuliwe vyema nawe kwani ninayoanza kuyaona kwa 'Wahanga' nalo huku Mitaani ni makubwa.