Recent content by sinegia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Vituko vya watoto na ripoti za matokeo

    Mpe anachopenda
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukiwa umelewa ukaanguka na pikipiki huumii

    Sababu ni moja & viungo vya mwili wake vinakuwa dhaifu inapotokea anataka kuanguka huwa inakubalika kwenda mzima mzima & tofauti na mwenye ufahamu anae elewa apa kinaenda kutokea nini huwa anaforce kistokee kile kitu na ndipo anakakamaa na ajari yake kuwa mbaya zaidi....
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 50 ya kisaikolojia yatakayokushangaza

    [emoji817] perfect
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kuzaliwa upya. Chunusi ziliniponza

    asante my dear
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kuzaliwa upya. Chunusi ziliniponza

    Thanks makaveli10
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kuzaliwa upya. Chunusi ziliniponza

    asante kwa ushauri madam
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kuzaliwa upya. Chunusi ziliniponza

    asante mkuu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kuzaliwa upya. Chunusi ziliniponza

    Hali hiyo imeshakwisha , usoft usharudi.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kuzaliwa upya. Chunusi ziliniponza

    27
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kuzaliwa upya. Chunusi ziliniponza

    Nikikumbuka matendo na Mambo niliyofanya huko nyuma, roho inaniuma.nakumbuka wakati nipo nasomea mafundisho ya ubatizo, nilikuwa mtu mwenye amani sana ,ndoto yangu ilikuwa ni kuuishi uhalisia wa maneno ya mungu kupitia vitabu mbali mbali hapa duniani. Mawazo kichwani mwangu yalijenga taswira...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tabia za Wanaume mbalimbali wa Afrika

    Tanzania sijaona boss
  12. S

    JamiiForums Tanzania Maisha yanachosha sana

    Naiona hali unayoipitia ndugu, bila kujigundua wewe ndo silaha tosha na hakuna mtu mwingne wa kukuvusha ulipo, basi huwez kufaulu man. Wengi wanafeli kwa kutegemea kampani za watu fulani ndio zitawatoa.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ama kweli majuto ni mjukuu..

    Miaka 4 nmeishi kama shetani nisie na mbele wala nyuma , hiyo ni baada ya uko nyuma kuchezea hela . Nilizani sifa walizokuwa wananipa walimaanisha nikajiona napendwa kila kona napopita yeyote akiniomba buku Nampa buku mbili, wa elfu tano Nampa bila kujiuliza mara mbili , kumbe ilikuwa inapendwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Napataje leseni ya kuwa mkopeshaji rasmi?

    Nasubiri majibu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

    Kwa uzi huu lazma wadada wakutafute
Back
Top Bottom