Recent content by sindesunde

  1. sindesunde

    Aliyegundua msemo wa "Njia ya Muongo ni fupi" alitudangaya

    Mie nishaiba zaaidi ya mara 100 ikuaje 40 aijafika
  2. sindesunde

    Umeshawahi kunusurika kifo? Tuelezane ilivyokuwa, kama njia ya kumshukuru Mungu

    nimenusulika na ukimwi mara 6 kwanza mwaka 2001 nikua napiga demu mtaani nikasafiri mkoa narudi naambiwa demu alizaa mtoto kafa ila afya ya demu tia maji washikaji wananiambia demu kaungu na bwana alie zaa nae yuko kitandani akili ikaruka,nikaama mkoa 2006 nikawanapita na raia mmoja kumbe...
  3. sindesunde

    Msaada wa kupata kazi ya ufundi wa simu

    Wakuu nisiwachoshe mie ni fundi wa simu ninahutaji mtu anisadie hata pakufanyia kazi au tufanye kazi nalazimika kuomba huu msaada nimekutana na mtihani wa kusimbewa kilakitu nilivyokua nimesafiri. Nimerudi nyumbani patupu yaani bora ningeachiwa vitendea kazi lakini vyote vimekombwa. Sasa...
  4. sindesunde

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    maisha yanakua magumu ndio maana nasubiliaga mateja wa usiku
  5. sindesunde

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu kama wewe ni yesu mie nafuata yote uliamua navunja kibubu na huyu wa england tunamfanyaje
  6. sindesunde

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    tuliomfuata naona anataka kutuaribia siku
  7. sindesunde

    Patrick Ausems huyo Jangwani

    mkuu ushabiki sio matusi!ila ile canter ya wazi mliotoka nayo airport mmetia aibu bora mngewaomba ata clods lilie gari lao la matangazo
  8. sindesunde

    Jezi Mpya za Klabu mbalimbali kwa ajili ya Msimu Ujao 2020/2021

    hehheeeeeee we mjamaa unautani wa ngumi na city
  9. sindesunde

    Simba sports club hii ni aibu haswa kwenu

    sio kama yale ila tambua kuna magari ya wazi mazuri yanakodishwa mfano angalia ktk promotion za vinyaji au makampuni ya simu utajua gari zipo
  10. sindesunde

    Simba sports club hii ni aibu haswa kwenu

    hiyo gari yenyewe katoa mo ilikua inambaza TAMBI
  11. sindesunde

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wachina walitaka kunimalizia mtaji wangu
  12. sindesunde

    Ndugu zangu Waislam kufundisha karate Misikitini lina maana gani hili

    Kweli mkuu tunaongoza kuwao dada zao wasibishe mie nimeoa wawili wote nimewachomoa huko
Back
Top Bottom