Recent content by sinda hasan

  1. sinda hasan

    Kati ya aina hizi za matrekta, ipi ni bora?

    Tractor zote ni nzuri shida inakuja kwenye vitu vifuatavyo:- Location: wewe unataka uitumie eneo gani tanzania hii kwa mfano unaishi maeneo yenye ardhi ngumu sana unahitaji tractor yenye nguvu yaani 4WD. Kampuni nzuri ni SONALIKA, MAHINDRA, MASSEY, SWARAJ (Kwa maeneo yenye ardhi ngumu sana) Kwa...
  2. sinda hasan

    Natafuta motherboard ya Dell latitude d610

    Hata mm mwenye nayo anipigie kwenye namba yangu 0672754037 niko moshi lakini
  3. sinda hasan

    Nataka nikasomee Health Records and Information Management

    iko hv mi nasomea hii course hapa kcmc na content za hii course ni kama ifuatavyoo .kuna kituuu kinaitwa disease coding .statistics and census .research .kuna database management .kuna filing hapa ndioo kuna mambooo mengii sana.... yaaani ni mengi lakini vyuooo kwa kwelii vinavyotoa course...
  4. sinda hasan

    sitasahau!!!

    Sitasahau kula
  5. sinda hasan

    sitasahau!!!

    Sitasahau siku nilkunya mawe yakageuka mikate na kuyala yote na nikanya amira nyeusi
  6. sinda hasan

    Tatizo la Ajira (zenye tija) nchini: Ripoti ya Benki ya Dunia na Mikakati ya Serikali ya Tanzania

    Swala n kuboresha mfumo wa elmu uwe wa vitendo zaid kuna watu wanamalza degree za IT hajui hata kitu chochote sasa usitegemee kwamba taifa litaletewa mabadlko na watu wa namna hiyo. Inasemekana kwamba Biligates, mmiliki wa kampuni ya Microsoft aliacha chuo akiwa mwaka wa pl au wa 1 kama...
  7. sinda hasan

    Naomba ushauri wa Computer nzuri ya kununua

    Natafuta desktop comp for internet cafe
  8. sinda hasan

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Mjin noma kaka mi mwenyewe nampango wa kwenda katavi au moro nikiwa moro i will find u mr ok
  9. sinda hasan

    Kwenu kinaota/kinamea au kustawi kitu gani?

    da ni noma vjana wa xaxa 2kijikita ktk kilimo ndio njia pekee itakayo 2toa mm nampango wa ku go mkoa wa katavi kuna jamaa yangu kafaidka na fursa hii mm niko tabora kilimo huku ni kama tabu kidogo coz place nilipo igunga kilimo kinacholipa xana ni mpunga place ni mwanzugi blplm ni bei ya...
  10. sinda hasan

    Natafuta photocopy machine

    tunaomba bei yake hata mm nahtaj
Back
Top Bottom