Recent content by sinamvuto

  1. sinamvuto

    Artemis ii Capsule, inatarajiwa kutua leo ambapo itashuka kwa kasi kubwa mara 10 zaidi ya kasi ya risasi katika re-entry

    Wanaanga kwenda anga za mbali hilo tukio hamliamini na kuita maigizo,ila kushikwa began na nyeti zako kupotea hilo mnaliamini.Hadi kukimbilia kuvaa pini mikononi kama imani ya kuzuia nyeti zisipotee!!
  2. sinamvuto

    Wanawake wengi wanapenda kusifia sauti yangu kuwa ni nzuri.

    Hakika kuna haja ya kwenda Veta kupata mafunzo kama ilivyoshauliwa na wazir mkuu,kama vijana ndio tupo na akili kama hizi
  3. sinamvuto

    Natafuta mwenza mwanamume

    Mume nipo,ila nina watoto wanne,nimetengana na mke wangu.Vp vigezo vimekubalika?
  4. sinamvuto

    Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

    Nimetukana tusi kubwa sana!! Yaani huyo mwanamke anamuambia mumewe ampigie x wake ili athibithishe kuwa hawakulala pamoja huko safarini! Pia akiwa safarini anampigia mumewe video call kama uthibitisho kuwa amelala mwenyewe kwenye room,ni namna gani amemuona mumewe fala hadi anamfanyia upuuzi huo...
  5. sinamvuto

    Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

    Aisee!! Pole sana,huyo ndio mwanamke wako wa kwanza katika maisha ya mapenzi? Maana naona unatumia sana hisia badala ya akili kwenye kufanya maamuzi hasa ya hatma ya maisha yako !!!
  6. sinamvuto

    Nimemchagulia Ex girl wangu mume wa kumuoa

    Safi kabisa,huo ndio upendo wa kweli.Mume mpya akishindwa majukumu unaita bibie na kukaza kusaidia jahazi liendelee!!
  7. sinamvuto

    Barua ya wazi kwa RC Paul Makonda

    Hii nchi inahitaji maombi aisee,maana tumefika kubaya sana namna wananchi wanavyofikiria na kuamua,hali inasikitisha sana.
  8. sinamvuto

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Hivi hadi miaka ya leo mkifanya mapenzi mnaulizana maswali kama umeridhika au la? Mbona naona maswali ya ajabu sana mchezoni!!
  9. sinamvuto

    Je, nitumie dili niliyopewa ukweni hata kama wife ananitambia?

    Naona my wife wako,fridge lake haligandishi( hajui kutunza siri).Anyway mvumilie na kumpa ukweli wake yale anayokukwaza,ila usiache hiyo mipango kufanya kwani faida ni yenu japo yeye kifua chake ni kama chujio la nazi.
  10. sinamvuto

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Sijaona umuhimu wa wewe kumblock pale mwanzo kisa yeye alikublock.Inaonekana huyo mrembo ameshajua udhaifu wako kwake,so anarudisha majeshi.
  11. sinamvuto

    Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Siri ya utajiri ni ubahili!!
  12. sinamvuto

    Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

    Nimeleta kama swali,sijaleta kama hoja. Pia jitahidi kusoma key point za swali husika kabla haujaandika unachowaza!!
  13. sinamvuto

    Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

    "Hakuna mtu mwenye akili timamu,anaweza kudumu kwenye ndoa kwa miaka mingi" hii kauli ina ukweli boss?
Back
Top Bottom