Recent content by sinaham

  1. sinaham

    JamiiForums Tanzania Fahamu kumi bora ya makabila yanayoongoza kushirikiana katika shida na raha

    Mimi msambaa ilan sijui wanakutana wapi. Kwa hiyi point yajo ni uzushi
  2. sinaham

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wangu analewa kupindukia. Nifanyeje aweze kuacha?

    Mkuu sasa saidia hapa pombe naachaje?? Usifanyeje wewe ukaacha. Utasaidia wengi sana
  3. sinaham

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania selina senya juma, namtafuta sana, nioneeni wandugu

    Hapana
  4. sinaham

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania selina senya juma, namtafuta sana, nioneeni wandugu

    Tangu 2012 mbali sana
  5. sinaham

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania selina senya juma, namtafuta sana, nioneeni wandugu

    Mansakankanmusa upo bado
  6. sinaham

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zaanza kukusanya Ada Kidato cha Kwanza 2025

    Shule za serikali zilivyochabangwa chabangwa. Eti anayesoma Benjamin Mkapa si sawa na anayesoma Uhuru mchanganyiko. Nchi hii imeharibiwa mno
  7. sinaham

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Na kwa kuwa tayari wameshakuwa wengi nchini. Kagame ana jambo. Hapa namuona mkuu wa uhamiaji akikoroma usingiz wa Porno. Nahisi kabisa watu nimesoma nao wakapata na mkopo sio raia wanajifanya waha kutoka kigoma. Idara hii ifanye uchunguzi wa baadhi ya watz raia na viongoZi wakuu wa vitengo na...
  8. sinaham

    JamiiForums Tanzania RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

    Msiba wa celebrity wewe umeenda kufanya nini..waacheni wenyewe. Wewe andika tu hapa RIP
  9. sinaham

    JamiiForums Tanzania Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Hivi maisha ya Hando yapoje
  10. sinaham

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Kwa upande wa Tanzania sio Mitandao tu hata Bank loan wanaibia raia yaani nawaza kuhama nchi hii kwa muda hadi hali itakapotengemaa. Yaani viongozi ni kama mazombie yapoyapo tu. Kuna wkt nawaza hivi ?au ndio maana mange anawatukanaeee? Yaani waziri yupo tu
  11. sinaham

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa michezo ya nje naomba ufafanuzi

    Mfia timu
Back
Top Bottom