Recent content by sinafungu

  1. sinafungu

    DOKEZO Kukithiri kwa matendo ya rushwa kampuni ya ujenzi ya Shandog Luquiao Group Co.ltd mradi wa Mwendokasi

    Usishangae uliza mkurugenzi wake mkuu MWENDO KASI NI NANI. ukiweza tafuta back ground yake.huyo jamaa ni mpigaji hakuna tena..kahamishwa hamishwa sehemu nyingi kisa kotofautiana na viongozi wenzake ..ni jizi .
  2. sinafungu

    Wanasema simjali mama yangu ila kiukweli sioni athari yake kwangu

    Iwe itakavyokua huyo bado ni mama mzazi.huwezi kupata mwingine zaidi yake...kuwaacha wadogo wa kiume kwa baba na akaondoka na wakike...isiwe na wala si sababu.hujui kilichojiri wakati huo...kuwa naye katibu kadri uwezavyo...
  3. sinafungu

    Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    suala la MAHARI si la utashi wa wazazi ni suala la kisheria kama alivyowasilisha mleta mada. hivyo ukiona kuna mambo meengi , angalia je hapo ulipoenda kuoa DINI IKO.........? kama hilo haliko basi lazima utakutana na hayo lkn UISLAMU ni mfumo kamili wa maisha.
  4. sinafungu

    Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

    hakuna shart la kisheria ktk kufunga ndoa kwenye UISLAMU linalosema hivyo. UISLAMU NI DINI NYEPEESI KTK KILA JAMBO. KWANI KILA JAMBO LINA MAELEKEZO YAKE HIVYO UKIKUTA UKAKASI KAMA HUO, TAMBUA NI UZUSHI.
  5. sinafungu

    Tuwekeze kwenye Teknolojia kutafuta suluhu ya Maji

    NASIKIA MKOA WA DSM kule Kigamboni serilaki ktk tafiti zake iligundua chanzo kikubwa cha maji baridi kule KIGAMBONI chenye maji mengi yasiyo mithirika. ....lkn cha kushangaza makaratasi yakawekwa kwenye makabati eneo lile wakauziwa WATU BINAFSI NA LEO WAMEJENGA KIWANDA CHA MAJI...
  6. sinafungu

    Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    ASALAAM ALAYKUM, mm sio mwanasayansi ,bali nataka nikurejeshe ktk hiyo AYA. ni tofauti nawewe ulvyoandika. aya inasema KISHA TUKA TUKAIUMBA TONE KUWA DAMU ILIYOGANDA. WEWE UNASEMA UNASEMA MTOTO ANAUMBWA BAADA YA MBEGU KUINGIA KWENYE DAMU ILIYOGANDA......(UNAPOTOSHA HIYO AYA.) kwa...
  7. sinafungu

    Sahihi kuvuta Sigara baada ya kufuturu?

    sigara ni MAKURUHU, unaweza kuvuta baada ya kupata futari, lkn si kabla ya hapo ndani ya mwezi wa RAMADHANI. bali UISLAMU unakataza kutumia kitu chenye kudhuru afya yako, sigara ikiwemo.
  8. sinafungu

    Kanisa Katoliki lazidi kukumbwa na kashfa za unyanyasaji wa watoto

    WARUHUSIWE KUOA HAWA VIUMBE , NI NGUMU KUPINGANA NA MAUMBILE ALIYOKUUMBA NAYO MUNGU , KWA KUDAI ETI DINI IMEKATAZA ....................!!! UISLAMU NI DINI YA HAKI...
  9. sinafungu

    Kadinali wa Ujerumani ashauri mapadri wa Katoliki waruhusiwe kuoa

    tatizo hamsomi kitabu vzr, hakuna mahala MUNGU anazuia mtu kuoa mke halali, ndio maana inakuwa vigumu kuthibiti jambo hili kwani ni maumbile yetu aliyotuumba nayo MUNGU.
  10. sinafungu

    Wajue Wagombea 9 watakaoshiriki Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania

    hivyo vyama CCM-B vinaonekanaga muda wakuhadaa DUNIA
  11. sinafungu

    Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    hawa wanasiasa muda wote wanafikiria watanzania bado ni wale wale wa 1977 february tarehe 5, na kuna baaadhi yao huenda wana kazi maalum , huyu makala alipokuwa mbeya soko la chimala kila mara likiungua, kaja dsm ni yaleyale ...................!!!!
  12. sinafungu

    Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

    KAMA sijasahau BUNGE cchini ya BW NDUGAI lilitunga sheria kwa kada maalum kuongezewa muda wa kufanya kazi hata baada ya kufikisha umri wa kustaafu kwa lazima , mfano madaktari .
  13. sinafungu

    Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

    muundo mzima wa jeshi hili umepitwa na wakati. LINGEFUMULIWA ILI KULIUNDA UPYA. sehemu kubwa ya jeshi hili si waadilifu, hata yule kijana HAMZA aliyewamiminia risasi polisi , inasemekena pia walimzurumu madini na fedha.
Back
Top Bottom