Recent content by SINA JINA1

  1. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania GE2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

    Mwanakijiji ulipoleta bandiko lako kuhusu Dr. Slaa -Kwamba CDM ikae na Dr. Slaa ili kuridhia matakwa ya Dr. Slaa aliyoyaweka kuhusu kumpokea EL. Katika bandiko lile nilikueleza wazi kwamba wewe na genge lako huna nafasi ya ushawishi tena kwenye mbio za MABADILIKO. Tafuta njia nyingine ya...
  2. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Nachofahamu ni kwamba wananchi wamechoshwa na utawala mbovu wa ccm , so wanataka ccm iondoke madarakani. Mifano hai ipo kwenye majimbo ya ccm mwaka 2005,2010 ambayo watu walichoka na wagombea wakapigia upinzani bila kujali ni nani. Kama kuna anayefikiri ana ushawishi zaidi ya wananchi wenyewe...
  3. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Upepo wageuka tena, Juma Duni Haji kuwa Mgombea Mwenza wa Lowassa

    Ninachojua MasterMind wa michezo yote ni EL mwenyewe, Hata kipindi EL anarudi nyuma kumpisha JK Rostam aligoma ili kwasababu EL ndiye MasterMind -Alikubali. Inawezekana ni mbinu mbadala kwa EL kumwadaa Magufuli . Ila kwa upande mwingine wa shilingi inawezekana.
  4. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Profile ya Dr Slaa

    Nimependa sana mtiririko wa makala yako.
  5. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Maridhiano Juu ya Lowassa (A Proposal on Compromise): Kutoka Hapa Kwenda Kule...(2015)*

    Pongezi sana mkuu mwanakijiji kwa bandiko lililojaa uchambuzi makini. Huwa kuna maswali mengi sana najiuliza kwanini Mwanakijiji umekuwa na mtazamo chanya kwa Dr.Slaa zaidi ya CDM? Haya ni mambo ambayo najiuliza sana bila kupata majibu-Napata na mashaka kuwa jitihada zako za kuwa...
  6. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

    Subutu yao!. Kama hawajui nguvu ya mwenyekiti kwenye vyama vyetu wakawaulize 'afulila,Zitto na Hamad Rashid...watakuwa wamejifukuzisha uaanachama wenyewe
  7. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Natishwa

    Wamewezwa kweli.Kutwa nzima humu ni Slaa, EL -Kahama ,anatishwa , haridhiki....haa haa haa
  8. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Mafuta yashuka bei

    Washushe tu, kura kwa EL
  9. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Has Dr. Slaa quit politics?

    He has came out, just go through https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/897834-dr-slaa-uongo-ni-dhambi-na-siko-tayari-kuishiriki.html
  10. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Unahisi nini muda huu ambapo wale walikuwa wanakutusi kwa matusi yote mpaka ya nguoni na kukushambulia kwa kila namna ndio wamegeuka kuwa wafuasi wako!?. Naamini kabisa kuna mahala umeteleza japokuwa kuwa na msimamo tofauti na wenzako si dhambi. Naamini kabisa kwenye hili si kutofautiana...
  11. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ni kweli umepewa Rushwa na TANECU?

    Hongera sana Mwandishi kwa bandiko lako refu; Pia nakupongeza kwa wewe kuwa mkazi wa Mtwara kwani uliyoyaandika yanajionyesha wazi kuwa wewe ni mwana Mtwara. Kabla sijaanza kuchambua ulichokileta humu jamvini ningependa usome uzi huu...
  12. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati na Madini afanyiwa maombi ya nguvu ofisini kwake leo

    Ngoja tuone kama maombi yatasaidia , maana jamaa ni mropokaji utafikiri anaimba mipasho.
  13. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nitataja majina ya vigogo walioficha fedha nje kwenye kikao kijacho

    Ameibuka na songi jipya
  14. SINA JINA1

    JamiiForums Tanzania Sijaridhishwa na Namna Waandishi wa Global walivyomhoji Binti aliyedai amebakwa!!!

    mimi pia nilishawahi kufungwa nikiwa darasa la tatu, so jifunze kujenga hoja na kujadili kwa umakini zaidi.
Back
Top Bottom