Mafuta yashuka bei

Mafuta yashuka bei

Grader

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
445
Reaction score
65
Habari za uhakika kutoka EWURA zinaonyesha ukokotoaji wa bei za mwezi ujao ambazo zinatarajia kutangazwa Jumatano zinaonyesha Petrol itashuka kwa tsh 210,Diesel 150 na mafuta ya taa 100.
 
CCM wanakumbuka kushusha net asubuhi.
Kawaambie tumenyonywa kiasi cha kutosha sasa tunataka tuone wenzao wa CHADEMA kama wanaweza
 
😄😄😄😄baraaaaa
 
Hiyo ni taarifa iliyopotofu! Kwa taarifa yako petroli inapanda kinoma huku dizeli na mafuta ya taa yakishuka kwa cents
 
Watu wanapenda sana umbeya.Tusubiri siku husika ya kutangaziwa bei.
 
Hiyo ni taarifa iliyopotofu! Kwa taarifa yako petroli inapanda kinoma huku dizeli na mafuta ya taa yakishuka kwa cents

Huu ni mtandao wa uwazi na ukweli. Subiri jtano halafu uone upotofu Wangu.
 
Back
Top Bottom