Binafsi pia nimesikitishwa sana na kuchukuliwa kwa masafa ya 103.3 FM ambayo yamekuwa yakitumiwa na BBC World Service masaa 24 kila siku kwa muda mrefu hapa Dar.
Kuwepo kwa radio ya muziki tu masaa 24 si wazo baya, ishu ni kwa nini iwe hayo masafa ya 103.3 FM katika listi ya redio zaidi ya 20...
Salamu wadau,
Ninataka kununua laptop zinazotumia Google OS (Chromebooks) hapa Dar, sichagui brand kwa sasa; iwe Samsung, Asus, Toshiba au 'manufacturer' mwingine yoyote yule... cha msingi kujua ni duka/wapi zinapatikana kwa hapa Dar.
Natanguliza shukrani!
Asanteni.
Kitu kizuri, juhudi ziongezwe zaidi na zaidi vyuoni hasa kwenye eneo hili la utafiti. Tuna matatizo mengi yanayokwamisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kama rushwa, mifumo ya kiutawala n.k lakini ukosefu wa takwimu bora kutoka kwenye taasisi za elimu ya juu ni tatizo kubwa pia.
Haitoshi...
Labda nieleweke mkuu, ni hizo kabati ndogo (TV stands) ndio zipo sokoni na si luninga bapa ambazo tumeziweka juu yake kuonyesha muonekano wake kwa ujumla.
HAVE A LOOK AND CHOOSE WHAT YOU WANT!
For those who are interested;
Price: Tsh. 100,000 (Negotiable depending on the design)
Contact #: 0718079550/0684801020 (Ask any question through these numbers)
Location: Dar es Salaam (Morocco)
Manufactured by ELECOM CO., LTD and imported to Dar from...
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa majira ya saa tano asubuhi leo eneo la mto Ruvu kupita Sakayosi ili kuelekea Kiwangwa na Msata. Daraja kuu dogo na muhimu kati ya mengi yaliyopo hapa lilikuwa limemezwa kabisa na maji na kukata hali ya mawasiliano ya barabara hii.
Mkuu, kwanza nashukuru nimepata wadau kadhaa wenye nia na tumeelewana. Pili, hiyo 60kgs ni uzito wa mzigo (mfano TV, radio n.k) ambao unaweza wekwa juu ya 'TV stand' hizo. Nitafute mkuu tufanye biashara!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.