Recent content by simsim09

  1. S

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    i have never touched her phone as kwani natafuta nini humo? thx mwalafyale
  2. S

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    utakkuwa mwanamke we Nivea, ila ni hivi mwanamke anao uwezo mkubwa kumchange mume wake whatever atavyokuwa, inakuwa tabu pale prcess ya kumchange inakuwa km wewe navyohisi waweza go abt it. Mwanamke km kweli anataka apendwe yeye na yeye tu lazma kwanza awe humble no mattter mme ni biter kiasi...
  3. S

    Mke wangu kanibadilikia baada ya ndoa.

    [COLOR=#333333] hayupo serious huyu hajaoa /olewa huyu!
  4. S

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    hapo mbona since tumeoana? had leo anapiga sana domo kuhusu marafiki zangu hata nliokua nao utotoni, kanisms dada mmoja tulikuliaa mtaa mmoja hadi namaliza frm six kunihabarisha anafunga ndoa anaomba mchango pia anaamini sana ninaweza msaidia kuongoza vikao vya party, weeeh ulikuwa mzozo...
  5. S

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    ndoa ni kukomoana? au kuaibishana? nadhani ni hiari so inabidi mmoja akiona anabezwa afaye homework ajue hasa kisa ni nini? may be yeye ndo tatizo? Je anatiiza yote yampasayo km mume/mke? Ok ameshaona na mimi nkasema basi uhusiano wangu na wewe basi nani kashika makali? mwanaume mwanamke? who is...
  6. S

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    taf rudi mapema kuupata ushauri wako wa kina!
  7. S

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    kwanini unasema hivi kalou? ni hatari sana yaliyotendeka au?
  8. S

    Mke wangu kanibadilikia baada ya ndoa.

    mi naona hapa tunachemka wengi haswa hao manaosema eti ukioa uache kuwa rafiki na upande wengine, inategemea ni urafiki gani, so ina maana kuwasiliana na mwanamke mwingine ni mapenzi tu? tuache ushamaba, maisha ni mafupi sana kuanza kupeana eti mipaka ya mawasiliano, yees kwa mipaka ya...
  9. S

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    Naomba kuuliza hapa kwa jukwaa la mapenzi ningeenda la sheria lakini ningependa la mapenzi zaidi kwa kuanzia. Kama umeoa au kuolewa na katika mahusiano yenu mwenzio anaanza tabia kukuchunguza kiasi cha kwenda kuhonga mtu kampuni ya simu anaprintiwa(print) message zako zote anajichimbia anazisoma...
Back
Top Bottom