Recent content by simplemind

  1. simplemind

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

    Hitilafu ya Engine ni emergency ya kawaida?
  2. simplemind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu Zilizopelekea Dangote Kujenga Refinery Lamu Badala ya Tanga

    Toa hoja hizo zilizopelekea mipango kuvurugika mwishoni. Tuache ushabiki wa Simba na Yanga mambo mazito-ajira elfu sitini zimetua Kenya.
  3. simplemind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu Zilizopelekea Dangote Kujenga Refinery Lamu Badala ya Tanga

    Uamuzi wa Dangote kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta (refinery) huko Lamu, Kenya, badala ya Tanga, Tanzania, unaonekana kuhusishwa zaidi na masuala ya bandari, usafirishaji wa mafuta ghafi na uwezo wa kupata mafuta kutoka masoko ya kimataifa. 1. Kina cha bahari na uwezo wa kupokea...
  4. simplemind

    JamiiForums Tanzania Wauza migahawa acheni upumbavu, hakuna chai bila majani ya chai.

    Tunauziwa hadi chai ya nazi. I want my tea plain ,like once upon a time my parents were alive.
  5. simplemind

    JamiiForums Tanzania Kakistocracy- serikali ya hovyo kabisa.

    Serikali inayotawaliwa na watu wa hovyo zaidi, wasio na sifa, au mafisadi inaitwa Kakistocracy. Sifa Kuu: -Uwezo mdogo na rushwa: Viongozi huteuliwa kutokana na upendeleo (cronyism) badala ya sifa au uwezo. Kupuuzwa kwa wananchi: Serikali hutanguliza maslahi ya watawala wala rushwa...
  6. simplemind

    JamiiForums Tanzania Sandaland Kuiburuza Mahakamani Wizara ya Michezo Kuhusu Jezi za Taifa Stars

    Makonda alitumia viegezo vipi kupima uzuri/ubovu wa jezi za timu ya taifa? Emotional, subjective feelings za Makonda isiwe kipimo/standard ya ubora wa jezi yetu.
  7. simplemind

    JamiiForums Tanzania Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

    What the club is about Its original purpose was to promote amateur sailing and yacht/boat racing, but it has developed into a broader maritime and social club. Current activities include: ⛵ Sailing and sailing races 🎣 Deep-sea fishing 🤿 Scuba diving 🛶 Kayaking 🏄 Stand-up paddleboarding 🏊...
  8. simplemind

    JamiiForums Tanzania Daktari Bingwa wa Mloganzila, Conrad Agonza, anayedaiwa kumshambulia Trafiki afikishwa Mahakamani, 10/09/2026

    Nadhani awali kulikuwepo mtiririko wa issues ambazo zimechangia hadi daktari 'kugaragaza' chombo cha dola. Hako ka minor issue is the straw that broke the camels back so to speak.
  9. simplemind

    JamiiForums Tanzania Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

    Nini hii? Mambo mengine usumbufu tu.
  10. simplemind

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Daktari aliyempiga Polisi usalama barabarani hajulikani alipo

    Ametoka scene of "crime" buheri wa afya. Amepata ajali njiani kwenda kituoni?
  11. simplemind

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Daktari aliyempiga Polisi usalama barabarani hajulikani alipo

    Kwanini asifikishwe mahakamani?
  12. simplemind

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Amani hailetwi na bunduki hata utumie risasi ngapi, sasa hivi tunafikiri amani tunaweza kuidumisha kwa kutumia polisi

    Acha sarcasm, Sharpeville bullet in the back day makaburu waliua wazalendo 60 - dunia nzima hadi leo inakumbuka Sharpeville massacre. Vyombo vyetu vya ulinzi viliua Watanzania wangapi 29 Oct? Hili siyo jambo la utani wa Simba na Yanga.
  13. simplemind

    JamiiForums Tanzania Hii ya leo kali sana sana

    Kesi ya uhaini.
  14. simplemind

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Amani hailetwi na bunduki hata utumie risasi ngapi, sasa hivi tunafikiri amani tunaweza kuidumisha kwa kutumia polisi

    Warioba anazungumzia matumizi ya bunduki dhidi ya wananchi. Mnawaua kwa risasi zilizonunuliwa kwa kodi za walipa kodi—yaani kwa pesa zao wenyewe. Inasikitisha zaidi kuona chombo kinachopaswa kulinda wananchi kikitumia rasilimali walizochangia dhidi yao wenyewe.
Back
Top Bottom