Recent content by simple t

  1. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli kutoa mwaliko rasmi wa wapinzani kuhamia CCM tutarajie "mafuriko ya wahamaji"

    Siasa za Afrika Tanzania ikiwemo ni kinyume na uhalisia wa science ya siasa yenyewe. Ukisoma misingi ya science ya siasa kwenye vitabu halafu ukajaribu kuviapply Afrika vinagoma kwa %
  2. S

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

    Mawazo mazuri sana kwa mstakabali wa Mama Tanzania.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuhama kwa Wabunge, Madiwani wa Upinzani ni dalili kubwa tosha kwamba Upinzani hawako tayari kuja kuendesha nchi na kamwe hawatoaminika kwa Wananchi

    Nadhani upinzani wa Tanzania Leo upo hatua mhimu na ngumu katika group/organization formation ambayo ni "storming stage" na kwa wapinzani wachache watakaoweza kupita kipindi hiki wataimarika zaidi siku za usoni. Taasisi nyingi uzoefu unaonyesha zinakufa katika stage hii
  4. S

    JamiiForums Tanzania Multipartism in africa- suicide mission

    Sisi waafrica hasa watanzania tuko vizuri kwa kutafuta visingizio kwanini mambo hayaendi vema. Tukubali tu kwamba tatizo letu ni ubinafsi uliopitiliza hakuna cha kusingizia wazungu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nauza gari ipo vizuri sana

    Mawasiliano mkuu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za WanaCCM "Hatutaki Vilaza Vyuo Vikuu" zawatokea puani leo

    Inaumiza sana, ikizingatiwa kuwa Ukilaza wa wanafunzi wengi umechangiwa na Serikali ya John Pombe Magufuri. Hivi mwanafunzi aliyesoma secondary ya kata, isiyokuwa na walimu, vitabu na vifaa vya kujifunzia then akapata division III au IV. Halafu mwenzake amesoma shule bora za St. Etl na kupata...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wahariri kuhusu "Bunge Live"

    Wakati watu wengine duniani kote wanajitahidi kupiga hatua kwenda mbele sisi tunapiga kurudi nyuma. Mbaya zaidi wasomi wamejawa na unafiki na kujipendekeza ili watuliwe kuwa.......
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane tu kuwa "Urais" ni kama "Umalaika" hivyo asikosolewe

    Bandiko zuri hakika. Watazania ni watu wa ajabu, tunakawaida ya kufikiri kuwa mara mtu akichaguliwa/teuliwa anabadilika kuwa superhuman jambo ambalo si kweli hata kidogo.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Namuona Kikwete Ndani ya Magufuli

    Magufuli awezakuwa Rais wa hovyo kuliko wrote waliomtangulia. Tusubiri tuone
  10. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA o muerte, Cuban Motto

    the freedom is coming tomorrow x 2 viva UKAWA.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo aombwa kugombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

    Naomba kamati kuu ya ACT iniombe niko tayari kuwasaidia kugombea
  12. S

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Polepole ni mchambuzi mzuri ila chuki binafsi zinamnyima ubora wake, anapaswa ajue kwamba mfumo mbovu lazima utamwadhiri hata malaika na mfumo bora utmbadilisha hata shetani. Hebu fikiri Maguri amekuwa raisi waziri wa madini Wiliamu ngereja, mwanasheria mkuu mtemi chenge na Waziri wa fedha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo Rasmi wa Majimbo kwa vyama vinavyounda UKAWA

    Mwanzo mwema tuwapongeze kwa hapo walipoikia.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Dhoruba kali yaipiga Meli ya MV Serengeti katika Ziwa Victoria, yafanikiwa kutia nanga salama

    Maisha bora kwa kila Mtanzania tulieni jamani
Back
Top Bottom