Recent content by Simple Mind

  1. S

    JamiiForums Tanzania January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    Huu mchezo wa saikolojia ambao makamba hawezi. Majimbo gani hayo??? Tume ina kigugumizi cha kutangaza matokeo hata ya hapo dar??? Isitoshe tume na jeshi la polisi wanatoa kauli gani kwa kura zinazokamatwa kwenye magari ya serikali??? Kura feki zimezagaa mpaka bar, zimetoak wapi???
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Kesho naona iko mbali sana. Makambanda mguu sawa, mguu pande......!!:lock1:
  3. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli akiwa rais ataendelea kuteuliwa watendaji

    Ni aibu tupu na kutapatapa manake titanic linazama, katiba wewe hata rangi yake huijui acha hivyo vifungu.. Uteuzi wa makatibu wakuu muda huu nu aibu tupu manake rais ameshaagwa kila kona. Wasiwasi wa nini??
  4. S

    JamiiForums Tanzania Haya masaa machache yaliyobaki CCM na Viongozi wake watajichafua sana

    WAGOMBEA WETU WAHOJIWE NA CNN NA Aljazeera kupimwa ufahamu wao Kwenye International affairs
  5. S

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera na CNN wawasili Tanzania kuripoti matokeo Uchaguzi Mkuu

    Wagombea pia wahojiwe na hizo channel za wenzetu kujipima kama wanajua huo umombo na internationl affairs...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkullo afanya kufuru

    Yaani Mbaha, hizo fedha ni sawa na Mishahara ya Walimu 30 kwa hesabu za haraka haraka. Shule ngapi zina mwalimu mmoja na hata hakuna madawati na mwalimu mwenyewe huyo mmoja hana motisha wowote?.Tunajenga Taifa au tunaandaa "Time Bomb" litakalolipuka huko mbeleni. Ninavyofahamu Mabalozi wa nje...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa aonekana kuufyata mkia na kumkubali JK...kimyakimya....................

    Mijadala kama hii imepitwa na wakati. Vumbi la kisiasa limeshatulia na maisha yanatakiwa yaendelee. Nakubaliana na Mwanakijiji kwamba hapo ni busara imetumika kuliepusha taifa na vurugu na machafuko ambaye kawaida masikini ndiyo huwa wanaathirika sana kwani hupigania wasichokiweza. Slaa alisema...
Back
Top Bottom