Magufuli akiwa rais ataendelea kuteuliwa watendaji

Magufuli akiwa rais ataendelea kuteuliwa watendaji

gps boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2015
Posts
447
Reaction score
65
Dalili za Bw.Magufuli kama atachaguliwa kuwa Rais ATATEULIWA WATENDAJI NA WALIOMWEKA MADARAKANI KWA MIAKA 3.Hali hiyo imejidhihirisha mapema baada ya Rais aliyopo kuendelea kuteua watendaji licha ya kubakiza masaa tu ambao Magufuli hana uwezo Wa kuwaondoa hata akiwa rais.Hivyo watanzania tujiandaa kumwona Magufuli anapangiwa watendaji asiowataka.
 
ndio maana unatakiwa umchague Lowasa mwenye vision na anayeijua system

Hakuna wakumburuza.Ana power watamsikiliza,sio wa kupangiwa
 
Wewe hujui katiba kuhusu madaraka ya Rais,soma katiba,usikurupuke wewe mwana ukawa,unaonekana hata chai. Hujanywa na huna uhakika wa kuipata ndio maaana unaleta ----- humu jf
 
Haya jana kikwete kateua tena anawaapisha muda huu Na Kesho atateua
 
Ni aibu tupu na kutapatapa manake titanic linazama, katiba wewe hata rangi yake huijui acha hivyo vifungu.. Uteuzi wa makatibu wakuu muda huu nu aibu tupu manake rais ameshaagwa kila kona. Wasiwasi wa nini??
 
Mkapa Na Mwinyi hawakuijua katiba? Au anatumia katiba ya Bw.SITTA?
 
Back
Top Bottom