Recent content by Simon Patrick

  1. S

    Olympus Has Fallen VS White House Down

    Kwakweli zote hazina uhalisia, ila kidogo olimpus imejitahid kuliko whd coz white house ya marekani haiwez vamiwa kirahisi vile, labda wangeigiza ikulu za Africa......mtazamo tu#
  2. S

    Muslim beauty waoooo!!!!

    Jaman, dini zote ni njia za kutupeleka kwa Muumba wetu ambao sote tunamuabudu, Peace n Love to each other will qualify us towards there, tusichukiane wala kubaguana Jaman.
  3. S

    Syria 'welcomes' Russia proposal to put chemical weapons under international control

    America can never fear Russia ever, just diplomacy is what is taking place
  4. S

    United States will hit Syria in 72 hours, says Pentagon source

    Get to know this, ata dunia nzima ikiungana haiwezi kumpiga mmarekani, Obama tu ndo kaamua kutumia diplomasia angekua bushi ingekua habari nyingine, My point is, sioni aja ya raisi wa syria kuendelea kukaa madarakani wakati watu wanazidi kufa na influx ya wakimbizi kuongezeka, ata kama syria...
Back
Top Bottom