United States will hit Syria in 72 hours, says Pentagon source

United States will hit Syria in 72 hours, says Pentagon source

Safi sana US piga hao rodents wa syria hawana cha maana hao zaidi ya kutaka kuua watu kwa sumu. Go USA go......

Haters keep hating..............hahhahahahha

Mwenzio akinyolewa ......
 
Hawa waarabu ni mazuzu kweli, marekani kafanya upuuzi iraq hakukaliki wako bize wanuana, kafanya hivyo Libya, kafanya hivyo Misri, sasa anaenda Syria jamaa hawastuki. Wako na ka-umoja kao HAKANA MAANA kanaitwa arab league kale sjui kaLiundwa na marekani kama iilivyo bakwata kwa CCM.
 
Tuandae diesel na petrol ya kututosha kwa mwezi mzima,yasije tokea kama yale ya Iraq,vituo vingi vya mafuta vitaanza kuficha mafuta kwa nia ya kuuza kwa faida kubwa zaidi pale itakapotokea shortage.

Hahaaa mwenye nchi hana habari yuko busy na wahamiaji haramu
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Syria is there, so we have to attack it. Whats' so hard to understand about that?

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hawa waarabu ni mazuzu kweli, marekani kafanya upuuzi iraq hakukaliki wako bize wanuana, kafanya hivyo Libya, kafanya hivyo Misri, sasa anaenda Syria jamaa hawastuki. Wako na ka-umoja kao HAKANA MAANA kanaitwa arab league kale sjui kaLiundwa na marekani kama iilivyo bakwata kwa CCM.
Chezea njaa wewe.
 
Wako busy kusubiri msimu wa mfungo ili wauze tende....
 
I think if America hit syria triggered the 3rd world war because both sides have their allies to support,
 
Get to know this, ata dunia nzima ikiungana haiwezi kumpiga mmarekani, Obama tu ndo kaamua kutumia diplomasia angekua bushi ingekua habari nyingine, My point is, sioni aja ya raisi wa syria kuendelea kukaa madarakani wakati watu wanazidi kufa na influx ya wakimbizi kuongezeka, ata kama syria hatumii siraha za kemikali essence iko pale pale people are dying, Intervetion is highly needed.
 
EU nayo inamsapoti Obama ila sharti lao ni kutaka America isubiri ripoti ya wakaguzi kuletwa UN kwanza, hivyo Obama naye anacheza kadi ya kuvutavuta muda.

Bashar na baba yake Hafidh wameuwaua Sunni wengi sana ..cant wait to see his back.
 
Back
Top Bottom