Hawa jamaa ni very incompetent katika udhibiti. Sasa nalo wanataka kulifanya kuwa kosa letu. They must stop making excuses and start doing their job right.
Sent from my SM-N900V using JamiiForums mobile app
Kiongozi, kuna bwana alikaa miezi mitatu porini anapitisha fiber cable. Na hiyo njia ilikuwa ni ngumu balaa unapita kwenye misitu so kuna kufyeka, sehemu nyingine unapita kwenye miti ya watu ya kupandwa hivo kunakuwa na mikwaruzano kibao. Jamaa ile amemaliza tu hakukaa hata mwezi wakamfukuza eti...
Na walikuwa na mpango wa kuingiza materials zaidi kuendelea na ujenzi, regime iliyokuja imewanyosha wametia breki kwanza. Ila regime iliyopita ulikuwa mpeto tu..... Walikuwa wanakuzingua na wanakwambia tupeleke popote. Nchi ilikuwa mikononi mwa hawa jamaa aisee.
Nyie furahieni bando tu, lakini kiukweli kuna machozi mengi na machungu ya watanzania wenzenu tena maelfu juu ya mtandao huu. Watu wengi sana wameumia kazini na hao halotel hawakutoa hata senti tano kuwatibu. Yaani mtu anavunjika mguu wana mpa laki 5 halafu inakuja kukatwa kwenye mshahara...
Tatizo watanzania tunapenda starehe kuliko kazi. Wenzetu wanaendelea kwasababu wanawekeza katika kazi. Lakini sisi tunataka kazi ndogo tulipwe milioni. Hawa jamaa niliwaona sehemu wanapandisha mnara, wale jamaa huwa wanalala hapo hapo hata kama ni kichakani. Wanawekeza katika kazi na si kama...
Hahaha wabongo bwana, kutwa kucha kulalamika. Kazi zilikuwa tatizo wakawa wanalalamika, amekuja mvietnam na pesa zake kutoka kwake na kila kitu chake, kaleta ajira kibao bado wanalalamika. Technology inayotumika ni ya quality kubwa kuliko mitandao mingine na uwekezaji wake ni gharama zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.