Recent content by SIMEON KATATANAMA

  1. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV 4 old model for sale

    Njoo uone gari mkuu
  2. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV 4 old model for sale

    Nauza gari aina ya RAV 4 Old model. Gari iko katika hali nzuri. Gari iko Arusha. Tazama picha. Bei ni TZS 8,500,000. Mawasiliano:0716470620
  3. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Kwahiyo kama na nchi zingine zinafanya hivyo ndo na sisi tuige
  4. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi lakini mshahara ni mdogo mno

    Mkuu unawakosea sana farasi. Hakuna farasi mjinga wa kiwango hicho.
  5. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

    Mungu akubariki sana mleta uzi kwa kazi iliyotukuka.
  6. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania Bilionea mwenye kibamia afariki dunia akifanyiwa upasuaji wa kukuza uume

    Ukiambiwa una kibamia ujue kuna wachimbaji wengi wameshapita kwenye huo mgodi. Usijipe stress.
  7. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mchungaji Alph N Lukau afufua maiti na kuacha gumzo kubwa

    Mkuu kuwepo kwa haya mambo hakuondoi ukweli wa uwepo wa watumishi wa Mungu wa kweli. Ndo maana kila Mkristo anapaswa kuwa na Biblia yake mwenyewe asome na kuona kama kweli anachoambiwa ndivyo kilivyo. Tatizo wana-Adamu wengi tunapenda kusikia story bila kuchunguza maandiko.
  8. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania Walimu wanaofundisha shule za binafsi huwa wasoma pamoja na Walimu wanaofundisha shule za Serikali?

    Naona unaamua kujitoa akili, Waziri mkuu na Raisi hawajui? Raisi ni mwalimu, anashindwaje kujua changamoto hizo wakati hapo hapo Dar es salaam kuna wanafunzi hawana madawati? wanasoma kwa kubanana? Shida ya nchi yetu ni vipaombele vya Taifa hatuna, kote kote tunapapasa na mbaya zaidi huyu...
  9. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania ACCOUNTS ASSISTANT

    Ujinga wa watanzania baadhi ndo uko hapo. Hujatuma maombi ushaanza negativity ilihali applications zinafanyika online, kama wewe unajikubali kwa uwezo wako kwanini uwaze watu wengine kuwa wameajiriwa na wakati nafasi imetangazwa. Au unahisi kila sehemu ni Serikalini?
  10. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania KOROSHO TENA! Serikali yakaribisha wafanyabiashara wanaotaka kununua na kubangua korosho

    Kilichomshinda kuwaita tangu mwanzo kabla serikali haijaamua kujiingiza ni nini? Au ndo wale wale team sifia ujinga.
  11. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania ACCOUNTS ASSISTANT

    About Fides Tanzania Ltd Fides Tanzania Limited is a cut flowers company situated near Tengeru, about 17km from Arusha town. Fides Tanzania is one of the subsidiary of Dümmen Orange, the world’s largest breeder and propagator of cut flowers, bulbs, tropical plants, pot plants, bedding...
  12. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea atangaza kujiuzulu Ubunge na uanachama wa CUF

    Bado yuko Bungeni au? maana siyo mbunge tena
  13. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania Hukuna jambo linaudhi kama mtu kutekwa halafu watanzania wakaanza harakati za kumtafta kwa kuandika tu Bring back somebody mitandaoni bila action

    mkuu ni kuwa walitakiwa au tulitakiwa? Mpaka hapo tushafeli maana kila mtu anahisi ni kazi ya mtu mwingine kuandamana.
  14. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Kwa wataalamu wenyewe mpaka muda huu hata hizo CCTV camera zimeshaingiliwa.
  15. SIMEON KATATANAMA

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Hayo ya time will tell ndo yanayoua nchi yetu. Anauawa mtu tunaishia time will tell
Back
Top Bottom