aksante rafiki duda na nitafurahi sana, ada ya udereva veta rafiki yangu aliniambie yeye alisomea kwa sh.160000 mwaka juzi ila sijui kwa sasa kwani sijawahi uliza nilihofia kuwa hata nikienda kuuliza huku sina pesa ni bure, namna ya kulipa tunaweza kwenda mimi na wewe veta siku ambayo utakuwa...
wazo zuri ila ujeshi ilikuwa plani yangu pia lakini wakati nakamatwa na watu waliokuwa wakishirikiana na polisi walinipiga na kasia kwenye mkono na mpaka sasa nahisi hauko salama na muda mwengine huwa unauma sasa kama nitakwenda jeshi sii ninawezashindwa?
aksante na siku zote nitamshukuru mungu na kumuomba kwakuwa nilishakata tamaa pale nilipokuwa naudhulia mahakamani na shule kwa muda wa miezi 8 lakini akaniinua nakunipa nguvu tena ya kufanya kazi ile ile na nkafankiwa kulipa ada kwahvyo nitaendelea kumshukuru mungu
ni Alliance Francaise na favre language & communication institute, vyote viko hapa dar ningependa kuanza na udereva, muda ktk udereva sifahamu , nimeshawai kutuma makumbusho ya taifa kuomba kuwa tour guide na ktk kampuni kule arusha lakini hakuna jibu
aksante mark, kwa sasa nahijitaji kusomea lugha ya kifaransa na kujifunza udereva ili nipate leseni, hii ni kwasababu kampuni nyingi zinahitaji mtu mwenye sifa hzo
Wanajf naomba kama kuna yeyote ambaye anaweza kunisaidia au hata ushauri kwa hili tatzo langu;
Nimekuwa tajiri wa huzuni na masikini wa furaha toka nikiwa darasa la pili, nilianza kujitafutia matumizi madogomadogo kama vifaa vyote vya shule hii ni kwa sababu sikuwa karibu na wazazi baba...
mi naona haya yote mawazo tunaumiza na kutiana uchungu tu la maana hakuna cha msing n uvumilvu mpaka kpind cha uchaguz tu anzishe tivu maana muhula unaisha kwa hiyo hata tuksema sana ni sawa na kujarbu kuzuia gar lisidondoke wakati uko ndani - lakn kwa jins akil finyu za kibong watawapitisha...
mmmmmm!! hii balaa!! balaaaa! kwel lakn source yote n wassira if asnge cema vle what could happen ila nafikr kuwa kama angekuw muislam ambae c kiongoz na akaongea vle nafkr isngekuwa tabu kwa maan 2meshaze mitaan kuwa akchnja mkristo muislam hali, lakn as a leader he spoke ze words like that...
mmmmmm!! hii balaa!! balaaaa! kwel lakn source yote n wassira if asnge cema vle what could happen ila nafikr kuwa kama angekuw muislam ambae c kiongoz na akaongea vle nafkr isngekuwa tabu kwa maan 2meshaze mitaan kuwa akchnja mkristo muislam hali, lakn as a leader he spoke ze words like that...
thanks 4 that information but jarb kutuwekea zaid zinazo resemble na education ya kibongo and i think u know well ze defferent btn tziiii educat... and keneducat.... but all in all l say thanks mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.