Recent content by Simbamwema

  1. S

    Usahihi wa alichokizungumza Nape kuhusu suala la gesi ya Mtwara

    Inachangiwa kivipi? Ndio hasa walimtuma huyo askari kudai kisicho haki kwake? Acheni mchezo wa kusingizia wapinzani. We huoni nchi inavyoliwa kinyama na wachache kwa kivuli cha amani na utulivu. Acha zako wewe kama una unakatiwa mkate na wala keki shauri yako, wananchi wamechoka.
  2. S

    Ufisadi ttcl

    Hapa kwetu songea, ofisi nyingi TTCL ndio net. provider. Imenichefua hii taarifa kwani toka ijumaa ofisi nyingi zimeshindwa kutoa huduma kwa tatizo dogo lenye hadithi kibao. Tumeshindwa fanya kazi system zote chali hadi aibu kwa wateja na usumbufu mkubwa achilia mbali upotevu wa mapato kwa...
  3. S

    Asilimia 40 ya wanaume wanatunza watoto sio wao

    Hao baba anaoleta ni wakwake au ndio 60%?
  4. S

    Asilimia 40 ya wanaume wanatunza watoto sio wao

    Akili yangu inaumia juu ya hatua zinazochukuliwa kupambana na ukimmwi.. Sidhani kama mafanikio yatappatikana. Nyie wanawake vipi?
Back
Top Bottom