Recent content by Simbamteme

  1. Simbamteme

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya pili)

    Asnte sana kwa madini
  2. Simbamteme

    JamiiForums Tanzania Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

    Yan huu mradi unaelekea kufa kwa KUWA NA WATEJA WENGI KUPITILIZA
  3. Simbamteme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

    Hongera kwa kutunza bikra
  4. Simbamteme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli

    Nini maana ya ukweli? Ukweli ni dhana tu ya mtu binafsi..Mfano Unaweza sema mwanamke flani ni Mzuri,huo ni ukweli wako lkn kwa mtu mwingine anaweza asimuone kama huyo mwanamke ni mzuri!!
  5. Simbamteme

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mbezi Beach hakuna maji karibu wiki sasa huu ni zaidi ya mgao, mnatukomoa!

    Wiki unalalamika!? Nipo mbez maguful(mpiji magohe) tangu mwez wa 1 hd leo haoijatoka hata tone
  6. Simbamteme

    JamiiForums Tanzania Leo ndio itakuwa mara yangu ya mwisho kupanda mwendokasi

    Kwa hyo kati ya vyooote umeona ufananishe na foleni ya mzabuni sio!! Si upande bajaji
  7. Simbamteme

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi rahisi kuiendesha hata ukiwa mbali?

    Hizo biashara zote zinahitaji usimamiz wa karibu...usijaribu kufanya hizo biashara Mm ni mwajiriwa na biashara nnayoifanya bila stress yeyote ni ya kununua na kuuza vyombo vya moto...gari,bajaji hata pikipiki Nanunua kwa watu wanaouza kwa bei mteremko,naipimp kdg nauza kwa bei ya juu Hii...
  8. Simbamteme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi ndoa ilinipotezea muda wangu, iliniacha na Maumivu na kilema cha Maisha yangu

    Ikiisha kbsa stor yote mniambie...mambo ya kusoma stori nusu nusu siyawez
  9. Simbamteme

    JamiiForums Tanzania I am depressed. Naombeni ushauri

    Yan unajua kbsa umemzid mumeo mshahara then unakuja na matakwa kibao...unajichagulia the easy way out...lipa ada mm ntalipa usafiri na uniform!! Hv unajua akili zetu wanaume zinavyofanya kazi kwel!? Swal moja naomba kukuuliza...hyo shule ni nani aliye suggest!?
  10. Simbamteme

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi ibiwa mali yako then ukaja kuipata? Ulitumia mbinu gani?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm ndo mganga mwenyewe
  11. Simbamteme

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi ibiwa mali yako then ukaja kuipata? Ulitumia mbinu gani?

    Haya mambo najua watu wengi wamekumbana nayo,kuibiwa simu,Tv,Radio,Pikipiki n.k Mimi nakumbuka mwaka 2017 nipo Mbeya,kuna wafanyakazi wenzangu wawili, walipanga nyumba nzima maeneo ya Iwambi makaburini(kwa mtu wa Mbeya anafahamu mazingira ya kule,nyumba za kishua flani hv)mm nilikuwa Iwambi ya...
  12. Simbamteme

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Mukuyeeeee mukuyeeee!!
  13. Simbamteme

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Haya Mashimo ya Choo ni Bora, Tuambieni Tusije Kujichanganya

    Haya mashimo simshaur mtu ayachimbe kama sehem aliyopo level ya maji ipo juu...ni ya kipuuzi sana...mm niliyachimbaga haya...kisa gharama ndogo...baada ya mvua kunyesha lilijaa...hapo nyumba haijaanza kutumiwa...kumwita alienijengea longolongo nyingiii...maneno mengiiii Nikapiga chini nikajenga...
  14. Simbamteme

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Kakibanda kangu kamekula gharama zifuatazo Mbao za kupaulia ambao zilitosha mpka kwenye drafi- 4.2 milion(niliagiza mwenyewe iringa)...ningenunulia Dar ingefika milioni 6 kasoro Bati ni ALAF MAX COVER 28 G,ilikula 10.2 milioni Misumari,sijui gharama za usafiri kutoa mbao ziliposhushiwa hadi...
  15. Simbamteme

    JamiiForums Tanzania Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

    Mm kuna mdada mtoto wake amemaliza std 7 anamfanyia sherehe mwezi ujao anataka nimchangie...yan nimecheka kimoyomoyo nimeshindwa hata kumjibu
Back
Top Bottom