Umeongea kitu cha maana sana.
Tanzania imekuwa nchi ya kulalamika kuanzia kwa kiongozi wa nchi, mawazir, bunge mpaka ngazi ya familia. Na hii imechagizwa sana awamu hii ni kutokana na kiongozi wa nchi kutumia stahili hii ya kuaalamika ovyo kama mbinu ya kupata cheap popularity au kick. Wakati...
Huyu hawezi kubadilika kama thread yako ulivyotanabaisha, Huyu mtu kavaa mwili wa kenge na ukitaka kuamini hilo kama kweli kaanza kubadilika angesikiliza maoni ya upande wa pili kwa kumtoa bashite, kuweka uhuru wa habari, kuachia shughuli za kiasiasa ziwe huru na kuwa msikivu pale watanzania...
Naomba uweke sawa kwa kutofananisha ujenzibwa SGR Kenya na SGR Tz. Kenya wameangalia mahitaji yao na nini wanachokitaka. Na SGR ya kenya siyo electrified kama yetu ni locomotive yaani diesel injini ambayo wanataka kuimodefie pia iwe elecrifiec SGR. Na kingine kenya walikitathimini ni uwezo kwa...
Makubwa!!
Naomba niweke sawa na usinilishe maneno na mawazo nisiyomuwazia kuwa ninamchukia. Sina ata chembe ya chuki nae.
Ata ukiangalia baadhi ya post zangu toka awali aliposhika atamu nilimsifu sana. Ila baada ya muda alianza kulikorogo na kufikia hatua akijiona yeye ndiyo yeye na uraisi...
Sidhani kwa milima kama tunaweza kuishinda Etiopia.
Kwa Ethiopia ipo Korea au Urusi useme hali yao ya hewa inapishana na sisi?
Kwenye huu mradi bado temepigwa tu kama kawaida hakuna haja ya kujisifia na kujipambanua umezuia upigaji wakati hali yenyewe ndiyo hii.
Hii post ni ya kimajungu na fitina na imekusudia wazi kumchoma nape. Ni kama Bashite yupo uwanjani anaicheza ngoma ya kumfitinisha na Nape na viongozi wake.
Lakini Mungu yupo na anaowaona na hakuna baya lisilo na mwisho.
Naaniii?!!!
Au unamaanisha huyu huyu anayetukana na kupayuka ovyo ovyo vitu vya ajabu ajabu.?!
Huyu huyu anayewakandamiza, kuongoza kwa visasi?!!
Huyu huyu Baba bashite mtekaji?!!
Ptyuuuuumbakaaaaaaaa bora akafie huko mbele na hakuna atakayekuja kumkumbuka mtu wa namna hii.
Ethiopia ndiyo nchi ya kwanza barani Africa kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa yaani electrified Standard Gauge Railway (SGR) 4ft 8 1/2 standard gauge mwaka 2016 kutoka Ethiopia hadi bandari ya Red sea Djiobuti. Reli hii inauwezo wa kubeba abiria na mizigo yenye uzito kuanzia tani 10 -17milioni...
Kenya contruction SGR phase one from Nairobi-Mombasa estimate distance 609 km will cost KSHS.327 sawa na $3.80bn
Tanzania ujenzi wa reli SGR phase one kutoka Dar-Moro 300km itagharimu $1.87bn.
Na siyo milion kama ulivyofanya.
Na ukilinganisha gharama kwa kila kilomita ni kama÷
Kenya...
Na wewe umedanganywa na ukadanganyika kabisaa. Naomba ucheki hizi data kwe hii attachment hapa chini.
Rekebisha huu ushuzi acheni siasa chafu.
Kenya contruction SGR phase one from Nairobi-Mombasa estimated distance 609km will cost KSHS.327 sawa na $3.80bn
Tanzania ujenzi wa reli SGR phase one...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.