simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,879
Ethiopia ndiyo nchi ya kwanza barani Africa kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa yaani electrified Standard Gauge Railway (SGR) 4ft 8 1/2 standard gauge mwaka 2016 kutoka Ethiopia hadi bandari ya Red sea Djiobuti. Reli hii inauwezo wa kubeba abiria na mizigo yenye uzito kuanzia tani 10 -17milioni kwa mwaka.
Mradi huu wa Ethiopia uligharimu kiasi cha $3.40bn kwa urefu wa 750km kutoka Ethiopia hadi Djiobuti na zimejejengwa vituo 18 vya abiria na kupishana treni. Treni itakuwa na uwezo wa kusafiri na kutoa huduma kwa kiwango cha spidi ya 160-200km/h.
Gharama za ujenzi huu wa reli ya Ethiopia itagharamiwa na fedha za mkopo 70% kutoka Exim bank ya china na 30% ni fedha zao za ndani.
Ethiopia imeweka mipangango madhubuti ya upatikanaji wa nishati ya kujitosheleza kwa ajili ya kendeshea treni hiyo ya umeme kwa kujenga Bwawa kubwa ya kuzalisha umeme takribani 6,000MW.
Wakati Tanzania imezindua mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa yaani elicrified standard gauge, 4ft 8 1/2 SG kwa awamu ya kwanza kutoka Dar-moro yenye gharama ya $1.87bn na urefu wa 300km na vituo 6 vya abiria na kupishana treni na yenye uwezo wa kubeba abiria na mizigo kuanzia uzito wa tani 10 -17milioni kwa mwaka. Ujenzi huu unategemea kuemdelea hadi hadi mwanza na pia kufika Rwanda,Burundi.
Pia treni hii ya Tanzania itakuwa na uwezo wa kusafiri na kutoa huduma kwa spidi ya 160-200km/h. Mradi huu unategemewa kuanza kwa awamu ya kwanza Dar-Moro 300km, na kuendelea na ujenzi kwa awamu nyingine kupitia Tabora-Isaka, Isaka-Mwanza na kwenda mpaka nchi za jirani ikiwemo Burundi na Rwanda. Inatarajiwa ujenzi huu utakuwa na urefu wa 1,250km na itagharimu $7bn hadi kukamilika.
MCHANGANUO WA GHARAMA NA UWEZO WA SGR TANZANIA Dar-Moro Vs SGR ETHIOPIA-Djiobuti.
1. Project cost.
Tanzania $1.87bn/300km=$6.2m/1km
Ethiopia $3.4bn/750km=$4.5m/1km
2. Line Length;
Tanzania 300km Dar-Moro with future extension via Tabora,Mwanza,Rwanda & Burundi.
Ethiopia 750km from Ethiopia to Djiobuti.
3. Power type; both Elecrified SGR.
4. Cargo volume; both does from 10 - 17 million tones.
5. Station; Tz 6 station and 6 bypass, while Ethiopia 18 station.
6. Source of fund.
Tanzania; internal and external(loans from Turkey, World bank& other partners).
Ethiopia; internal fund 30% of the project, external 70% loan from China exim bank.
Kwa mradi huu na mchanganuo wa gharama na maelezo mengine, Je Tanzania tumelamba dume/dume katulamba?!!.