Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,679
- 149,861
Wananchi tulalamika na nyie wabunge mlalamike wakati katiba imewapa uwezo na mamlaka ya kuiondo hii serikali madarakani!! Hapana hii sawa na huu ni udhaifu mkubwa.
Nakumbuka Zitto alisema idadi ya wabunge wa upinzani inatosha kabisa kupata asilimia inayotakiwa kuanzisha huu mchakato hivyo ni wakati sasa wa kutenda na si vinginevyo.
Mkiona Spika na Naibu Spika ndio kikwazo waondoeni wao kwanza kisha muweke wengine watakaoweka mbele utaifa na si uchama.
Wabunge mmeongea sana, mmelalamika sana na wengine mpaka mmetoa machozi lakini bado hakuna kinachofanyika.Sasa mnasubiri makubwa zaidi ndio mchukue hatua?!
Mnajua ni kwanini?Sababu mmeshaonekani ni wadhaifu ila mkijaribu tu kutaka kutumua haki yenu ya kikatiba mtaona serikali itakavyo haha na hata huyuo Bashite na genge lake watagekuwa mara moja na kuchukuliwa hatua.
Wabunge anzisheni huu mchakato muone kama heshima haijarudi. Kitendo cha kuanzisha tu huu mchakato wa kikatiba kitaitikisa serikali na hawatatulia na hatua stahiki zitachukuliwa.
Mkiendelee kukaa kimya ipo siku yatawashinda ingawa wengi wenu mtakuwa teyari mmeshaguswa.
Wabunge acheni kutafuta huruma ya wananchi wakati rungu tumewakabidhi nyie.