Salaam,
Kumekuwako na taarifa zinazokinzana juu ya gharama halisi za ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kutokea Dar- Moro 300km.
Kuna taarifa nimeisoma hapa JF ikionesha $ 185 milioni kukamilisha ujenzi wa reli tajwa. Wakati huo huo kuna Uzi unaofafanua matumizi ya hizo $ 185 milioni kama inavyoonekana kwenye attachment hapo chini
Je, taarifa ipi tuizingatie ????