Recent content by Simba wa ukweli

  1. S

    nahitaji ushauri wenu wana mmu

    Nimekupendaje sio mtu akishakojoa tu huyo full kukoroma
  2. S

    Chezea mume wa mtu??

    aisee acheni tu haya mambo yapo believe kuna dada alikuwa anaenda mwenzini kila siku mpaka kwenda kumpigia magoti mama wa kizaramo Kwa ufupi uku kwetu uswahilini jina nahifadhi kulikuluwa na baba la kihaya la haja watoto walisoma st Mary's enzi hizo wote wanne yani alikuwa na fuba si unajua...
  3. S

    Baadhi ya Wazanzibari walio Bara ni wanafiki

    hamna mtu mbaya kama Maalim Seif anawuatumia tu yeye full kiyoyozi kwenye benz hivi si alishinda uchaguzi 2010 kilichomfanya akaubaliane na maombi ya CCM nini hv mnadhani hatujui!!!!!!!!!!!!! Muwe makani na baadhi waarabu
  4. S

    Wazanzibar na Uamsho wa Kuchoma Makanisa

    aisee nahisi kama wataanza kujitoa muhanga
Back
Top Bottom