Recent content by Simba Mtu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Michael Richard Wambura aondolewa kwenye uchaguzi wa Simba SC

    Anajua na ana mahaba sana na michezo ndio maana haogopi wala kuwaonea aibu wale wote waliojimirikisha michezo kama mali yao binafsi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Michael Richard Wambura aondolewa kwenye uchaguzi wa Simba SC

    ...sio Malinzi tu , nani katika walioongoza mpira hapa nchini aliongoza kwa uadilifu ukimwondoa Gerase Lubega(Mungu AMREHEMU)
  3. S

    JamiiForums Tanzania Michael Richard Wambura aondolewa kwenye uchaguzi wa Simba SC

    ...kwa kila mtu kuna kile akipendacho kuliko vingine,kwa Wambura mpira/michezo ni kila kitu , ni hobby yake hawezi kuacha.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Treni za umeme na reli za juu kwa juu Dar es salaam..Shuka nayo

    Wangeanza na flyovers kwanza ktk makutano na mizunguko ya barabara.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dude akiri kubebeshwa madawa ya kulevya

    Polisi wamesoma hiyo confession yake lakini bado wanamwacha ,wamchukue akaandike maelezo na afanyiwe uchunguzi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Picture: Tanzania Boys Win 2014 Street Child WORLD CUP in BRAZIL

    Acha Ikulu wataitwa kwenye Bunge la Katiba.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Hata nikitofautiana na mwenyekiti wangu mradi naungana na wengi!

    Wengi kati ya wale wote waliopata nafasi ya kutoa maoni yao mbele ya Tume ya Warioba...
  8. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    aaah wapi uwezo wa Mbowe kimkakati umegota,akubali kumkabidhi mtu mwingine kijiti...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

    wanao chekacheka wanajichekesha ili wapate nafasi ya kuendelea kuwaibia wa tz, EL ana ukwasi wa kutosha amchekee nani ampe nini?...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Pres. Mugabe: It is time Africa be grateful to Julius Nyerere

    They are busy stealing... hawana muda wa kumkumbuka aliyewafanya wapate nchi ya kuitawala. Historia itawahukumu muda ukifika nao watasahauliwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya majini yaja Tanzania kumaliza msongamano wa magari?

    Watz kwa kujitoa akili kwa visingizio mbalimbali tunaongoza,sasa kuna ubaya gani mtu kutoa maelezo ya kina kidogo? angeandika kwa ufupi ungesema unataka ufafanuzi zaidi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuvaa Mlegezo Ni Fashion Au Uhuni?

    Hao woote wanapigwa paipu,hivyo wapo kazini biashara matangazo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Watoto watekwa, walawitiwa na kuteswa kinyama ndani ya handaki lilipo katika msitu wa Mabwepande

    Je wazazi wao walishawahi kutoa taarifa popote kuhusu kupotea kwa watoto wao?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu, Rais Kikwete aingilia kati

    Menyewe kwa menyewe, ngoni tupu
Back
Top Bottom