Recent content by Simba Massongo

  1. S

    Naomba ushauri

    Wadau,mimi ni kijana niliemaliza kidato cha sita mwaka huu 2019,nimescore Div 3.14 na nina D moja,naomba kufahamishwa vyuo vya ngazi ya diploma katika fani ya FINE ARTS AND DESIGNING au CINEMATOGRAPHY hapa nchini.Nitashukuru kwa msaada wenu
  2. S

    Mchungaji: Asikudanganye mtu, pesa ndo kila kitu, wallet ikiwa 'loaded' ni heshima mtaani

    Apostle Dastan Haule Maboya ni Mtanzania anayefanya kazi na Calvary Assemblies of Tanzania.
  3. S

    MUWASA wafanya maajabu, wazungu watua Moshi kuja kushangaa

    Siku hizi hayaozeshi meno Kama zamani?
  4. S

    Mwongozo wa Zanzibar kuanza kushiriki yenyewe kwenye masuala ya Kikanda na Kimataifa wapatikana

    Je unadhani maamuzi haya nyeti yaweza kufikia hatua ya kuletwa hadharani kabla ya kupitia ktk baraza ĺa mawaziri? Obviously hii ni corrective resolution ya serikali na sio Mh Makamba pekee.
  5. S

    Rais Magufuli kuzindua rasmi mji wa kiserikali Dodoma

    Hata ikiwepo kwa macho yenu hamuwezi kupambanua.
  6. S

    Profesa Mussa Assad: Natamani mahojiano yangu na Kamati ya Bunge yangewekwa wazi ili watanzania waujue ukweli

    After all maisha binafsi ya Prof. Assad sio Issue hapa tunataka michango ianayohusiana na taaluma yake sambamba na sakata hili.
  7. S

    Naomba nisiwe mnafiki, naomba Lethoso iifunge Cape Verde 3 bila

    Maombi yako yamekwisha kupoteza mwelekeo ktk ulimwengu huu na hata ule wa roho hakuna nchi inayoitwa Lethoso. Hivyo hilo ni dua la kuku Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Mahakama Kuu yamtambua Prof. Lipumba kama Mwenyekiti halali wa CUF

    Kwani CUF ya Lipumba wana haja gani ya kuzivamia ofisi hizo wakati tayari wana hati ya udhamini hizo ofisi watapewa tena chini ya usimazi wa Dora.
  9. S

    CCM jiandaeni na mpambano mkali uchaguzi ujao, Lissu sio wa kufanya kampeni za kupiga push up

    Labda kama huyo LIssu au hao wapinzani watahesabu kura na kutangaza wao matokeo.
Back
Top Bottom