Recent content by Simba Asiyefugika

  1. Simba Asiyefugika

    Zimbabwe: Kamati Kuu ya Chama cha ZANU-PF imemvua Uenyekiti wa Chama Rais Mugabe, Grace Mugabe avuliwa Uanachama

    Ataondolewaje kwenye urais kwa namma hiyo wakati alichaguliwa na watu wote wenye chama na wasio na. chama?
  2. Simba Asiyefugika

    Zimbabwe: Kamati Kuu ya Chama cha ZANU-PF imemvua Uenyekiti wa Chama Rais Mugabe, Grace Mugabe avuliwa Uanachama

    Huyo Munagagwa atakua Rais kwa kuchaguliwa na nani?au Zimbabwe hakuna popular vote?
  3. Simba Asiyefugika

    Ushawahi kujutia kufanya mapenzi au kuwa na mahusiano na mtu? Sababu ilikuwa nini?

    Wembamba ni watamu balaaa kwa kula,ila wanene ni watamu kwa kutizama tu.
  4. Simba Asiyefugika

    Mabasi ya Kilimanjaro Express yazuiwa na TRA baada ya kushindwa kulipa kodi ya TSh 500 milioni

    Ikibdi mabasi yatapigwa mnada Kodi ya SERIKALI ipatikane.Mbona wengine wanalipa?
  5. Simba Asiyefugika

    Waandishi wa Magazeti ya Mwananchi, Nipashe na Mtanzania wahojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge, waonywa

    Hawezi ondoka kwa kushughulikia watu wanaokiuka taratibu na sheria hi siyo nchi ambayo kila mtu anafanya atakavyo hata km anakiuka sheria,acha washufgulikiwe ndiyo watakua na adabu na maadili.
  6. Simba Asiyefugika

    Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Siyo kwamba huna haja ya kubishana na mm ukweli wewe na hilo limjamaa na lichama lenu nyote uchwara,hamuwezi lolote zaidi ya kuchonga mdomo tu.Nyie ni punda wa chama dume endeleeni kukifanyia kazi chama dume,Ikulu mtaisikia redioni tu.
  7. Simba Asiyefugika

    Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Na watampokea kwa mbwembwe nying sana,dampo halichagui uchafu.
  8. Simba Asiyefugika

    Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Sina chama,ila hilo limjamaa lenu kweli ni kamanda uchwara,tena ni bonge la paper commander hamna mtu hapo.
  9. Simba Asiyefugika

    Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Huyo Mbowe ni kamanda uchwara.Na km ndiyo unamtegemea andika umeumia.
Back
Top Bottom