Zimbabwe: Kamati Kuu ya Chama cha ZANU-PF imemvua Uenyekiti wa Chama Rais Mugabe, Grace Mugabe avuliwa Uanachama

Transcend

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
20,294
2,000
9e4b1d7dc8cde975d35b7cc3ac9d55e1.jpg

This picture has a lot to tell.
 
Simba Asiyefugika

JF-Expert Member
Apr 20, 2017
602
250
Hatua ya kwanza anashughurikiwa ndani ya duru za chama yaani ZANU-PF, Popural vote ni baadae ktk General elections after all akiishakatwa ndani ya chama hatakuwa tena na mandate ya kusimama ktk kinyang'anyiro cha uraisi ktk uchaguzi mkuu.
Ataondolewaje kwenye urais kwa namma hiyo wakati alichaguliwa na watu wote wenye chama na wasio na. chama?
 
Nzi

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
13,998
2,000
Yapaswa kutendeka na hapa kwetu. Wabunge wa ccm oneni wenzenu Zimbabwe wamesema enough is enough nchi haiwezi kuendeshwa kimahaba kushinda kimaadili na kufuata katiba. Grace aliona nchi yake kutolewa uanachama ni kuindolewa kinga atasimama mahakamani atatumikia kifungo etc I salute Zimbabwe army. Nilisema wanamlia timing YAMETIMIA Kwishney! Huwezi kushindana na nguvu ya umma.
CCM kumejaa mazombie kama yale ya kwenye ‘Walking dead’
 
Jozi 1

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
6,550
2,000
Ataondolewaje kwenye urais kwa namma hiyo wakati alichaguliwa na watu wote wenye chama na wasio na. chama?
ZANU PF ni chama tawala.
Wakimfutia uanachama anakosa sifa ya kuwa rais.
Karata alobaki nayo ni ile ya kimahakama.
Akizuie chama kumfuta uanachama.
Sijui amejipangaje upande huo.
 
Nzi

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
13,998
2,000
Ataondolewaje kwenye urais kwa namma hiyo wakati alichaguliwa na watu wote wenye chama na wasio na. chama?
Anakosa sifa ya kuwa Rais kwani ZANU-PF ndiyo waliomfadhili Bob na kumpa tiketi ya kugombea urais. Unless kama Zimbabwe kuna Independent Candidacy, basi ngoma inogile.
 
Transcend

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
20,294
2,000
Kama hizi ni akili na Nia za wazimbabwe basi Taifa lao litastawi na kuishi.

Ila kama hizi ni nguvu za watu wa nje waliokuwa na chuki na R . M then Tusubirie Hali mbaya zaidi."

Transcend ( 2017) .
 
Hali mbaya zaidi gani hiyo? Maana Zimbabwe hali ni mbaya sana over the last 10 years! No matter who is behind it, naona ni jambo jema kwa Zimbabwe na wazimbabwe.

Haya mavyama ya ukombozi Afrika ni mizigo tu! Hayatimiza hata ahadi moja walizozitoa wakati wa kupigania uhuru. Huku maviongozi ya vyama hivyo yakishibisha matumbo yao na wapambe zao tu!
 
Gerad2008

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
570
500
Hili jeshi la Zimbabwe ni la mfano wa kuigwa kabisa hawataki kuonekana wamefanya mapinduzi ya kijeshi they want peaceful transmission of power
Yaani wanamwabia aachie mwenyewe
Shule inasaidia ;sio jeshi la kutisha raia wanaweledi wa kutosha kabisa
 
Transcend

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
20,294
2,000
Hali mbaya zaidi gani hiyo? Maana Zimbabwe hali ni mbaya sana over the last 10 years! No matter who is behind it, naona ni jambo jema kwa Zimbabwe na wazimbabwe.

Haya mavyama ya ukombozi Afrika ni mizigo tu! Hayatimiza hata ahadi moja walizozitoa wakati wa kupigania uhuru. Huku maviongozi ya vyama hivyo yakishibisha matumbo yao na wapambe zao tu!
Hiyo hiyo Hali mbaya itakuwa mbaya mara 2 yake kama ni watu wenye Nia mbaya na Zimbabwe.
 
ArD67

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
2,821
2,000
Basi utakuwa na umri mdogo sana.

Chadema ni ya mwaka 1992 ina wenyeviti watatu mpaka sasa.

Ccm tangu Tanu ina miaka 50 sasa na imeongozwa na wenyeviti watano tu.

Piga hesabu utapata jibu sahihi.
Ulikuwa na hoja, lakini Kwanini unailazimisha kwa kuweka Uongo kimahesabu ili ikubarike? Ccm imeanzishwa mwaka 77 kivipi leo kiwe na miaka hiyo 50?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom