Recent content by simakoku

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Nigeria tumelogwa na nani? Hii tabia ya kuchanga hela kwa kujionyesha kwa kuhesabu noti moja moja imetoka wapi?

    Wengekuwa wanajua MUNGU haitaji showoff wangeacha huo ujinga. Hata sadaka zao wala hazipokelewi. Unafanya showoff kwa aliyekupa uhai na hivyo vijisent.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Familia ya Baba, Mama, Watoto na Wajukuu.

    Mkuu hivi huwa unapata hata muda wa japo kunywa maji kweli. Au ndio ile ulipo tupo.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Takribani watu 50 wamekufa kwa kiu katika Jangwa la Sahara baada ya lori kuharibika

    Wapumzike kwa amani. Wamekufa kifo kibaya sana. Hivi ktk hali kama hii ikitokea mtu akaleta kitimoto si itabidi kiliwe tu, au hairuhusiwi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa Vipepeo, Mara ya mwisho kuona kipepeo lini ?

    Kweli mkuu, ni kama ulikuwa akilini mwangu. Huwa pia najiuliza vipepeo waliendaga wapi? Nakumbuka nilipokuwa mdogo walikuwa wengi sana. Tulikuwaga tunatengeneza mfano wa kipepeo cha karatasi nyeupe, tunafunga kamba tunaanza kuzunguka na kukimbia nacho, vipepeo wengi sana,walikuwa wanatufata kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9 imeleta taharuki ya Mafuta, usafiri, vyakula & Condoms

    Condom si unaweza kuvumilia tu mkuu, sio za lazima,sana kwamba utakufa. 😅 Hivyo vingine sawa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa kweli na habari njema kwa taifa la Tanzania

    Mkuu, nimekusoma tangu mwanzo wa uzi wako. Kila nikosoma roho yangu inaniambia wewe sio mtu wa kawaida. Ukute tunaongea na Malaika humu. Tatizo watu tu wabishi sana, hata nyakati za kurudi kwa YESU zikifika, kuna ambao wataendelea kubisha tu. MUNGU akubariki..
  7. S

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi FreeMan Mbowe kamanda wa anga?

    Mkuu nje ya mada. Hii tagline yako ya kupiga nyungu na malimau imepitwa na,wakati, badilisha
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya usafiri Dar kutoka Karikoo au Posta ni mbaya sana

    Ukishakuwa mtu mzima usilaumu wazazi wako, sijui hawakufanya nini na nini, tumia akili kupambana na kutatua changamoto za wakati uliopo, na kufanya vizuri zaidi kwa watoto wako, ili wasije kukulaumu na wewe. Kuendelea kulaumu yaliyopita bila kutafuta soln kwa yaliyopo na yajayo hakusaidii sana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kweli Samia kajitahidi sana

    Luca wa kububujikwa sijamuona siku kadhaa, yupo likizo nini?
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kazi imeanza, mgombea awasili eneo la tukio bila mapokezi ya wananchi

    Kuna,wakati mazingira yanaweza kukuchanganya mpaka ukajikuta unajipigia simu na kuongea mwenyewe kama una act bongo muvi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Malipo ni hapa hapa kuna mwaka Gwajima alimtusi Mkatoliki Kadinali Pengo

    Mods, hii ihamie kwenye jukwaa la historia
Back
Top Bottom