Recent content by simaijuma

  1. S

    Mrejesho: Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Ndo ukubwa huo, kua uyaone, ndo hayo sasa si magorofa ya kariakoo, Katika vitu vinavyohitaji umakini mkubwa kuvifanya nasi ndoa ni miongoni mwao, nakusihi uwe na subira ila usiache kudai haki yako.
  2. S

    CUF wakanusha taarifa za kifo cha Maalim Seif

    Mfamaji baharini haachi kutapa tapa, rejeeni tu uchaguzi wenu maana nyiye si mnajiendesha bila ya msaada.
  3. S

    CUF wakanusha taarifa za kifo cha Maalim Seif

    Kuna tofauti kati ya ujinga na upumbavu, huyu au hawa waliotoa taarifa hii ni wapumbavu kwasababu wanaujua ukweli, lakin wangekuwa wajinga ingewezekana pengine kufanya makusudi au bahati mbaya, kama lengo lao maalim Seif afe kwanza watatangulia wao maana haya mengine ni ya Mungu sio ya mafatani.
  4. S

    CUF waibana ZEC Zanzibar

    Nikiambiwa nitathmini hali halisi inayoendelea zanzibar kisha nitowe maana ya DEMOCRACY na DICTATOR SHIP mm nitashindwa kutofautisha.
  5. S

    Magufuli, mgombea binafsi aliyewahadaa CCM?

    Wataisoma namba kweli wahafidhina wa CCM, JPM ndoto ya ukweli
  6. S

    Hakuna kurejewa uchaguzi Zanzibar!

    Hata wafanye nini mwaka huu mwiba umewakwama!!!! na wataumeza tu inshaallah
  7. S

    Kinachofanyika Zanzibar ni uhuni na ubinafsi

    Nashangaa wanaopinga ukweli wa mambo zanzibar CCM haijaanza kushindwa leo tokea 1995, Ingekuwa maalim kajitangazia urais basi ingekuwa kishaapishwa alichokifanya ni kutoa takwimu za kura, Ewe Mungu wasaidie wasiojua.
Back
Top Bottom