Hakuna kurejewa uchaguzi Zanzibar!

Hakuna kurejewa uchaguzi Zanzibar!

Kama Jussa kajitokeza kumpinga Seif Ali iddy anchosema kuwa ni uwongo kwanini huo ukweli asiuweke yeye hapa ili sisi wananchi tukapima hayo maongezi?
 
Naamini sana wanaccm ni Manyumbu kila kitu fuata upepo, wataanza kumdhibiti Magufuli muda ukifika. Nani hajui Zanzibar uchaguzi ulikuwa wa huru na haki?
 
Utapata shida kumfikisha She in the Hague. Lakini kumpeleka Maalim Segerea ni kufumba na kufumbua. hivi wewe huoni kwanini Luna vikao hivyo bavyo pia vina wahusiasha mzeeAli Hassan Mwinyi. kamandoo MTU wa muwafaka 1, na pia Amani Karume muasisi wa SUK. Maalim ni janga na anastahili SEGEREA.

ZEC ni janga. Hali yote hii ni ZEC ya CCM.
Hao wazee wanajitahidi kumshawishi na kumbembeleza Maalim akubali kurudiwa uchaguzi.
 
Kama Jussa kajitokeza kumpinga Seif Ali iddy anchosema kuwa ni uwongo kwanini huo ukweli asiuweke yeye hapa ili sisi wananchi tukapima hayo maongezi?

Kwani wewe si unaamini kwa uwepo wa MWENYEJI wako, MUNGU. Sasa anapotokea mtu akasema hakuna Mungu atakuwa ndio mkweli, kwa sababu wewe huwezi kumleta Mungu akaonekana?

Usiwe na comments zisokuwa na mashiko.
 
Umevuuka mipaka usiingize mambo ya Mungu na maneno ya jusa na Seifali
 
Back
Top Bottom