Recent content by Simabwachi

  1. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu atoa maagizo mazito kwa Halmashauri 8 zenye hati chafu na zisizoridhisha kwenye ripoti ya CAG

    namkumbusha pia Mdogo wangu Ummy aagize uchunguzi kama hao wahasibu/wakaguzi wenye CPA :- 1. wanalipwa sawsawa na vyeti vyao? 2. walilipwa stahiki zao zote zilizopo kisheria? 3. waliongezewa mshahara kila mwaka waliokuwepo kazini? 4. hakuna watu wasio na CPA lakini wameshika vitengo vinavyopaswa...
  2. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga afariki Dunia

    Nilikutana na huyu mzee JM mall samora 04/01/2021 akinunua pikipiki, nikasalimiana nae alikua bukheri wa afya.
  3. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huwezi kuwatishia wananchi ambao hawana cha kupoteza

    chini kwa chini 😨😨😨😨
  4. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huwezi kuwatishia wananchi ambao hawana cha kupoteza

    kiburi cha madaraka maandiko yanasema ajikwezae ushushwa
  5. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania Capital Gain Tax ni nini?

    aliekwambia unalipa 10% ya 134M ni mwizi Itoshe kusema hao maafisa TRA wenyewe hawajui capital gain tax inatozwa vipi na wameumiza watu wengi sana 1/. kusanya gharama ya kununulia kiwanja 2/. kusanya gharama zako za materials na mafundi 3/. thamani ya muda uliotumia kusimamia 4/. jumlisha...
  6. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania What happened? Total yafungasha virago vyake Tanzania(?)

    kwa sasa Tanzania hatuna kampuni inaitwa BP acha ushamba (and BP ni British Peteoleum) ambayo kwa sasa ni PUMA serikali ina percentage zake nafahamu - Shell ilishakufa. itoshe kusema unachotaka kujaribu kuongea ninakijua - ila elewa wawekezaji wanataka kuondoka wakijua fika hakutakua na fair...
  7. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania What happened? Total yafungasha virago vyake Tanzania(?)

    hivi unaelewa sababu za privatization?? hivi hujui tunarudishwa Ujamaa ambao ulitushinda? sasa mwenyekiti ataweza urudisha within 4yrs? au tuamini maneno ya Nkamia na yule Kesi wa Nkasi - kubadili katiba na kukaa milele?
  8. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania What happened? Total yafungasha virago vyake Tanzania(?)

    hivi ulipata kuzijua bei za FAST JET na unazjiua bei za sasa za Air Tanzania?
  9. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania What happened? Total yafungasha virago vyake Tanzania(?)

    sio TOTAL tuu, na Oryx pia wanajitoa kufanya hyo biashara moja kwa moja (yani mguu nje mguu ndani) ukiangalia kwa jicho la mbali utaona ni sababu ya TPDC kuanza na vituo100 - hakutakua na fair ushindani yaleyaleeee ya Fast Jet
  10. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kanyaga twende Vijana tupo na ari kubwa sana

    Sio ajira za upendeleo, ajira hakuna kabisa waliofukuzwa kazi kwa kigezo cha vyeti feki ni wengi na hatukuona replacement take 1. zile ajira za uhamiaji kila mwaka zimekoma 2. zile ajira za jeshi la polisi za kila mwaka zimekoma 3. zile ajira za magereza za kila mwaka zimekoma 4. ajira za jwtz...
  11. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania Huyu CIA anafanya nini Serikalini ?

    ndio anayo na wengine wengi kwenye serikali yetu ya awamu ya5 wanazo
  12. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbezi beach Vs Mtoni Kijichi | Chagua CCM upate maendeleo chagua upinzani uendelee kusota

    hatukufwata barabara wala mataa barabarani, na kama tunataka tutaweka wenyewe hali zetu zinaporuhusu Tanga/Tabora/Morogoro/Dodoma kila siku CCM inaongoza kumefanyika nini? miaka 59 ya Uhuru bado unaitikadi za kikoloni,serious?? 2015 - nilimchagua Kippi na Magufuli 2020 - nitamchagua Halima na...
  13. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

    uyo aliempga mwenzake kwa kuitwa bangi sana sio sawa, binafsi sivuti na sijawahi lakini nimeshaita watu sana "we bangi unajua" na hakukua na reaction ile huu ni msemo kwa vijana wenye tafsiri tofauti, labda km walikua na visa nyuma ya - so wakawa wanatafta sababu, ila video nyuma ya jukwaa...
  14. Simabwachi

    JamiiForums Tanzania Uroho wa madaraka unavyomgharimu Kafulila

    nani huyo mwenye kura 12? DC wa wapi Moshi?
Back
Top Bottom