Recent content by sima salva official

  1. sima salva official

    Mwenye taarifa hii ya HESLB atujuze hapa

    Chuoni kwetu taarifa ilkuja jana tarehe 24
  2. sima salva official

    Kuna baadhi ya vyuo wanafunzi hawajaingiziwa boom la kwanza mpaka leo, Prof. Ndalichako mulika

    Kuna baadhi ya vyuo wanafunzi hawajaingiziwa boom la kwanza mpaka tarehe ya leo tunaomba Prof. Ndalichako lile darubini lako litufikie huku Central zone tunaumia sana hali ngumu kila siku kesho kesho haijawaifika mulika na Huku..
  3. sima salva official

    Tangazo hili la mkopo University of Dodoma linachanganya

    Bora cive mpo vizuri Ila Huku bondeni Hali ngum yaani hakuna kitu kabisa maneno mengi sana
  4. sima salva official

    Tangazo hili la mkopo University of Dodoma linachanganya

    Edah usability Lila Suki burser anatoa tarehe tushachoka tumesaini ndio Ila hela now haijaingia tunaish Kama mbwa Huku Mara bado tunaangalia vocha Mara zpo kwenye mchakato hata haileweki
  5. sima salva official

    Msaada wa mwenye email ya Rais

    Msaada wana jf nahitaji kumtumia e mail mh. Rais mwenye nayo anisaidie maana nimechoka na haya mambo yanayofanywa na watu wachache ambao hawajali watu wengine tafadhari mnisaidie
  6. sima salva official

    Laptop inauzwa 250,000/=

    Ram ngap
  7. sima salva official

    Laptop inauzwa 250,000/=

    Duh ntakutafta
  8. sima salva official

    Hii ndio Tanzania ya sasa, TSSF watakiwa kupeleka pesa zao HESLB.

    Hata wakiwapa bado hels kwa wanafunzi zitachelewa tu kama ilo kwa sasa wanafunzi bado hawajapata mikopo yao yaan kilio tu wengine tayar wengine bado heslb dah hapana
  9. sima salva official

    Bodi ya mikopo mnataka watu waishije??

    Hayo n maneno tu kwan hata wiki ilopita walisema jumatatu
  10. sima salva official

    Bodi ya mikopo mnataka watu waishije??

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ndo mambo yalivo?aya c wa central zone vp au zilienda mjengoni[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  11. sima salva official

    Bodi ya mikopo mnataka watu waishije??

    Mimi mhanga wa hyo huku chuoni hamna kitu yaan nilipohakuna taarfa yoyote japo n chuo ni cha serkali mpka nimechukia wanafunz. Wanateseka yaan
  12. sima salva official

    Hoja tata: Vilio, Ubabaishaji na Uongo wa Bodi ya mikopo(HESLB)

    Kaka abdul bado ni giza kwel yaan watu bado wanaangaika hasa mikopo iliyopolekwa vyuo vingine haijaamishwa na hamna yoyote
Back
Top Bottom