Recent content by sily

  1. S

    JamiiForums Tanzania Banda wa Simba SC nimemuona akicheza AFCON ya Cameroon, ila Diara wa Yanga SC namuona 'anaozea' Benchi tu. Kulikoni?

    Hata mimi nashangaa Mkuu hawa vyura wanademka wakati Banda anakiwasha mechi karibu zote Sent from my SM-A800S using JamiiForums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

    Wakuu hili bandiko la Swali. Ofisi ya Mthibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali hukaguliwa na nani? Naomba kufahamishwa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Nini maana ya wanyonge Sent from my SM-A800S using JamiiForums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke

    Kuna Mama mmoja aliniambia huwezi kupakomoa hapo sehemu tulipotokea Sent from my SM-A800S using JamiiForums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

    Bila kusahau vyama vingine ambavyo badala ya kunadi sera zao wamejikita kumnanga Lisu
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume imemwita Tundu Lissu, lakini haina mamlaka wala uwezo wa kumuadhibu

    Neno langu la siku ya Jumatatu,huu ujumbe umekaa poa sana Mkuu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ajali Karatu: Basi la Coastline lapinduka kwenye kona maarufu kama 'Kona ya Hatari'

    Fanya kuokoa kwanza majeruhi Mkuu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Mwadui Vs Yanga SC (Deportivo La Utopolo?

    Naam!utupe hali ya uwanja na tahadhari imechukuliwaje kujilinda na Corona mkuu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuongezwa muda wa Urais: Askofu Emmaus Bandekile awaonya Rais Magufuli na Spika Ndugai

    Tuanze kwanza na hicho alichozungumzia hapo kwenye andiko lake wewe unaonaje onyo hilo la Mtumishi wa Mungu,Yeye ni Askofu ameshajitanabaisha mwisho mwa andiko lake kama unataka kujua yeye ni nani.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Silinde na Lijuakali wajifunge 'speed governor', wanakwenda kasi sana

    Naantombe Mushi, Inasikitisha sana Mkuu hivi wananchi waliopanga foleni kuwachagua sijui wanajisikiaje na hata familia zao zinaabika sana kwa jinsi wanayoyafanya,kuna maisha baada ya Bunge na kila mtu atarudi jikoni kwake.
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Njia pekee ya Mwita Waitara kuwa mbunge wa Bunge lijalo ni kuteuliwa. Hakuna jimbo analoweza kuchaguliwa kwa kura, hana ushawishi wowote

    Erythrocyte, Huyo Mbunge akitaka kurudi bungeni ahamie NCCR Mageuzi kabla bunge halijavunjwa vinginevyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yapandisha makato ya bima ya afya kwa wafanyakazi kutoka 3% mpaka 6% Januari 2020

    Kama ni kweli basi Hakuna jiwe litakolosalia juu jingine
  13. S

    JamiiForums Tanzania CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

    Kwa hiyo Yanga wameshawafunga Mkuu?
Back
Top Bottom