Recent content by silwela

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Rais mpya wa Ghana, ni ugonjwa wetu Waafrika?

    Ili Prf aonenkane ni PRC mwenye akili ni lazima abuni kitu chake na siyo kunakili vitu wavyobuni weingine
  2. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Mh. Rais wa JMT

    Msema kweli in mpenzi wa mungu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyezaliwa 2004 mwaka huu anamaliza la saba, Mbowe na CHADEMA mnaujua ukweli huo?

    Na ndoo maana wabaki kulaumlaum tu na kejeli nyingi Sera hukuna jipya hukuna
  4. S

    JamiiForums Tanzania Gitaa linauzwa kwa 100000 tu

    Weka nambari ya simu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kuihama Yanga

    Yanga wameisoma namba
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na serikali yake wakosolewe kwa hoja sio kwa viroja - Jicho letu, Star TV

    Kukosowa in rahisi sana kuliko kusifia
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Malawi aapa kulinda Ziwa Malawi

    Mwisho wake utafika tu
  8. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO, kwanini anayetumia umeme mwingi alipe kwa kiwango cha juu?

    Hats mm sielewi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu nae analalamika kwanini usichukue hatua juu ya wauza unga? Inamaana kwani hamuwajui?

    Sio mradi unaoingizia taifa pesa kwa sababu wanayaingiza kimagendo na hivyo halipi kodi inayoenda serikalini kwa hiyo wananufaika wenyewe ni kuangamiza nguvu kazi ya taiga
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kadiri Lowassa anavyojiimarisha CHADEMA, ndivyo chama kinavyofifia na kupotea

    Lowasa si mwana chadema Bali ni ccm B hii ni kauli ya Mzee wa lukusa na hii INA ukweli ndani yake
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu nae analalamika kwanini usichukue hatua juu ya wauza unga? Inamaana kwani hamuwajui?

    Inavyoonekana wafanya biashara wa haya madawa ni watu wakubwa serikali na katika vyama,ndio maana wanagwaya kuwakamata,mkwele aliwahi kusema wakati anahutubia binge kuwa orodha ya hao watu anayo,sasa kwanini wasikamatwe? Mimi naona serikali ndio wahusika wakuu wa hii biashara
  12. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango: Kasi ya ukuaji wa uchumi; Tanzania inaongoza barani Afrika

    Uchumi wa makaratasi Tanzania unaongoza barani afrika
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kila kitu bei ipo juu: Je, Rais Magufuli anapambana na umasikini au anapambana na watu masikini?

    Maisha ni kazi na kazi ni maisha,hapa kazi tu
Back
Top Bottom