Tsup WanaJF,tatizo lililopo kwa ndugu yangu ni tetekuwanga! Je? Kunatiba yoyote yakuweza kumsaidia sababu analia sana kwamba anaumia,nisaidieni tafadhali!
Jaman wana JF nilikuwa naomba mnisaidie mealekezo ya nama ya kuunganisha simu yangu na internet(simu yenyewe ni Black Berry Curve 8310) plzzzzzzzzzz????????
Kwan huyo jama toka alpokupa hiyo 4n mshaonana tena na kama bado den huyo atakuwa c mwaminifu n atakuwa aliamua kukushkisha ki2 kibovu cha samani ili umuamin n xo kwa ushaur wang jaribu kuwa check mafund simu coz ya weza kuwa sehemu ya sim card imeloose,xo ni hayo 2
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.