Kumbe kweli hawa jamaa huwa wanabana pua

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,315
7,731
Kumbe kuna ukweli asee

552328_10150624207176466_602226465_9503638_1679699523_n.jpg
 
kwanza hapo akipo kavaa blauz ya dadake hadi rangi inaonesha dhahiri kabisa..
 
asee huyu sijui ni microphone inanukaaaa au ni nini..!
yani huyu ni mbana pua live kabisaaaa
yani teh teh teh teh...!
 
Ha ha ha! Teh teh teh teh teh,uyo tozi inampasa kuwa makini acjepenga kamasi likatua kwenye microphone coz shoti yaweza tokea
 
Kwa mtaji huu, kuna haja ya kuzidi kuwachukia kwa makusudi.
 
Back
Top Bottom