Recent content by Silvanos

  1. Silvanos

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokutana na malaika, sitaki kumpoteza, nyie mlivukaje stage hii?

    Good story, Proper writing May the lord keep blessing your Struggles.
  2. Silvanos

    JamiiForums Tanzania Honda CR-V SUV ya 2007-8, Cc2350

    Hope Weekend inaenda vyema Natangulisha Shukrani zangu, kwa mtu yeyote mwenyewe uzoefu wa hio Gari hapo juu kuhusu Changamoto zake. Upatikanaji wa Spares Mafundi Durability Picha ya Gari pia nimeambatanisha. Ushauri ni Muhimu sana ili maamuzi yafanyike kati ya hii na Harrier tako la nyani...
  3. Silvanos

    JamiiForums Tanzania January Makamba na Majiko ya Gesi

    Poleni na mihangaiko ya Dunia Ila Mungu yu mwema siku zote. Bila kuwachosha naomba niende kwenye topic moja kwa moja Hili sawa la January Makamba kupita kila mkoa anagawa majiko ya Gas kwa Mama ntilie, Baba ntilie na Wakaanga samaki na Dagaa limekaa aje ? Maswali ya kujiuliza - Pesa za...
  4. Silvanos

    JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Mmemsahau Shaka Zullu
  5. Silvanos

    JamiiForums Tanzania Ugaidi wa Mbowe na Masheikh wa Uamsho

    No One knows the truth behind, Tutulie then Jamhuri na Serikali yetu Tulivu itatoa tamko, Ukimsiliza kwa makini Msemaji wa Polisi, utagundua kuna kitu kipo nyuma ya Pazia, Tusipende kushanikia vitu tusivyovijua...
Back
Top Bottom