Recent content by SILULU

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na Apps za Mikopo

    Nathani branch walisitisha huduma za kutoa mikopo Sina uhakika kama wamerudi ila riba Yao ilikuwa ndogo sana kuliko kampuni zote za kukopesha mtandaoni
  2. S

    JamiiForums Tanzania Division 1 ya point saba imepoteza hadhi, Shule kama Saint Francis wanafunzi "wote" wamenyoosha, nashauri kuanzishwe division 1 ya 6 na 1 ya 5

    Hiyo shule miaka mingi wapo vizuri kwenye matokeo ya kidato Cha nne na Cha pili na kipindi Cha nyuma walivyokuwa wanatangaza shule kumi Bora Kitaifa ,shule hiyo haijawahi kukoseka kwenye top ten .
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

    Dar haya mambo acha tu mm nilizaa na mnyaturu wa Singida bahati nzuri kaolewa yupo hapa Mbeya,mm nilikuwa nafanya kazi Singida nikahamia Mbeya kabla ya yeye kuolewa ,Cha ajabu alivyoolewa huku akaanza kunitafuta nipo Mbeya sehemu Gani?Nilimjulisha sehemu nilipo ,nikaomba nimuone mtoto wangu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya viboko kidato cha tano na sita ifutwe

    Kabisa alikuwa msumbufu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya viboko kidato cha tano na sita ifutwe

    Wakati nasoma KWIRO SEC SCHOOL form five and six sijawahi kupigwa kiboko na Mwalimu licha ya kuwepo MKUU wa shule jina la utani aliitwa KIMBUNGA alikuwa mkali sana lakini sijawahi pigwa
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kombe la kujaza uwanja kwa kiingilio nafuu nawapa, ila hamna timu

    Kwani walicheza kushindania kombe?Ile ilikuwa ni mechi ya kirafiki tu tusubiri kwenye ngap ya JAMII watakapocheza na Singida Fountain Gate ndio tutajua kama wamo ama hamna kitu
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Babati ni wazuri kuliko uzuri wenyewe halafu hawaringi wala

    Hao ni Sawa na Wanyaturu wa Singida tabia zao wanafana
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

    Kuna jamaa mfanyakazi alioa Mnyaturu wa Singida ,Yule dada aliomba akasome,kwa kuwa jamaa alikuwa ameoa tayar akajiamini kuwa hata akimsomesha Yule dada hawezi kumsaliti,kilichotokea dada alimsaliti jamaa ndoa ikitaka kuvunjika kisa kusomesha !Kama unaroho ya Upendo somesha Mkuu😂😂😂
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyemtuza mtoto wake ni mwanaume mjinga

    Mahitaji natoa ila kupitia namba ya mama mzazi wake ,maana nilimwambia hayo yako hayanihusu nikaomba namba ya mama mzazi wake akanipa
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyemtuza mtoto wake ni mwanaume mjinga

    Mm huwa natoa matumizi kama kawaida kwa mtoto wangu ,ila siku moja huyu binti niliyezaa naye alikuwa anaumwa ,aliniambia naomba hela nikatibiwe ,nilimpa bila shida ,lakini ukawa kama mazoea anaomba hela mara kwa mara Eti anadai hata akiumwa yeye lazima nimhudumie kwa kuwa anakaa na mtoto wangu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

    Huyo binti alimaliza form four mwaka jana nathani kachaguliwa kujikinga na kidato cha tano ndio maana serikali ikaingilia kati ,Ingawa hawajafanya busara kwa kubeba bunduki kama vile kuna vita
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na Apps za Mikopo

    T branch hawa ndio watu wenye ukweli kwenye kutoa mkopo,wapo vizuri kadri unavyorudisha mapema ndivyo kiwango cha kukopa kinaongezeka sio matapeli kama wengne wapo vizur sana
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani hautamani kuishi hapa Tanzania?

    Singida huu mkoa shida tupu kuna ukame,maji shida sana Singida,huu mkoa hapana kiukweli
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kamwe Usimuamini Mwanamke

    Kwa hisani ya Ashraf Hakimi,wanawake pasua kichwa sana
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa mkoa Singida mngejua tumia uzuri wenu na misimamo nchi hii mngelifikisha taifa mbali

    Umaskini nao unachangia vijiji vingi unyaturuni na hali ya maisha au kipato chao ni dunia,wengi wa waschana wanakimbilia mjini kufanya kaz za ndani,kuuza maduka,bar,n.k mathara yake wanajiingiza kwenye umalaya
Back
Top Bottom