Kuwa makini na Apps za Mikopo

Hauwezi kupata, kwa sababu ni wale wale.

Hilo la kwanza, la pili ni kuwa kitendo cha kudownload app yao tayari umeshawachangia.

Kwa mfano ukidownload app ukaanza kuaply mkopo kisha wakakueleza umekosea masharti, hiyo app uliyodownload inaabort, lazima uifute kisha udownload upya hata kama ni mara10 ama zaidi unakataliwa lazima udownoad upya!

Kwanza nashangaa ulipataje mkopo!

Maana hata kama umepatia lazima wakukoseshe.

Na kama ulipata, basi ni kwa kuingiziwa kiwango kidogo sana ambacho haujaomba!

Hao ni matapeli kuliko hata Tianshi!
Wanaingiza pesa ndefu kwa kuuza app kitapeli pekee.

Wanavimajina vingi, mara PesaX, mara Umoja loan nk nk, lakini ni wale wale.

Na ukitaka kuamini nikisemacho, kosa mkopo PesaX, muda huo huo nenda kuomba Umoja loan, utakuta kwamba wanakutambua.

Ukiwakopa usiwalipe kufidia pesa wanayopora kwa wengine.

Kwanza nikupe hongera kwa kuwabahatisha hata kwa kidogo hicho walichojisahau kukukopesha!
 
Kausha tu mkuu ni washenzi sana.. ni mwezi wa 7 sasa huu hawaja nitafuta tena walichoka wenyewe wana sms zao za vitisho wala zisi kupe shida hizo ni script wame pewa huwa wana copy na kuwa tumia wote wala usi wajali wana no. Zaidi ya 50 zote ziko blocked

Kampuni nzuri ni branch tu hawa atuja wahi kukwazana kabsaa
 
Habari

Hawa watu waliokuja ghafla na app zao za kutoa mikopo kwasasa hapa tanzania mbona niwahuni sana

Nimekopa mara ya kwanza sh 25,000 kwa app moja inaitwa cashx kabla ya wiki moja haijafika naanza kupokea cm nirejeshe malipo Yao na riba ni kubwa,

Baada ya hapo nikalipa hela haikuongezeka nikaambiwa nikope ileile kama mwanzo wakati hapo nimelipa hela zaidi ya hiyo ninayokopa nimelipa riba zaidi ya mara 3 mkopo hauongezeki

Sasa nasemaje nasemaje siwalipi, kwasiku wanapiga simu zaidi ya mara 20 ***** zetu silipi, kwanza naenda kuwashtaki kwa kunilaghai kwamba nikilipa napewa mara mbili yake halafu nikilipa nikiwapigia hampokei simu


Wote niwale wale

Pesax
Cashx
Mkopo wako


Hao wote siwalipiView attachment 2660365View attachment 2660364View attachment 2660366
Hao wanafanya kuweka riba kubwa ndan ya muda mfupi makusud ili kufidia watakaoshindwa kulipa na wale watakaolipa ili kubalance vitabu vyao,we usiwalipe hamna kitu watafanya hao,izo simu watapga watachoka
 
Ina kataa kutoa credit
Screenshot_20230618-165320.png
na nimepiga picha , na ku take face image ila bila bila
 
Back
Top Bottom