Recent content by Silia Andy

  1. S

    TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

    Mungu akutie nguvu na uvumilivu katika wakati huh mgum kwako. R.I.P
  2. S

    Mchepuko wangu ananishawishi kuwa awe ananipa nitumie Utumbo...ananisisitizia sana.

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] hapana, Kwake ni kula tu, Kulala kwenu!!
  3. S

    Riwaya: Mke wa Rais

    Mungu akutie nguvu!!
  4. S

    Wanawake achaneni na waume wa Namna hii, Wakimbieni kama Ebola ni hatari sana

    mfyuuuu!! kwa hiyo wageni wasije kwangu kisa yeye! We vip bwana!!
  5. S

    Wanawake achaneni na waume wa Namna hii, Wakimbieni kama Ebola ni hatari sana

    mtu wa hivyo atatembea hata na ndugu wa mkewe, sasa ukiendelea kumvumilia atakula hadi wanaye. pesa inatafutwa so mama big-up, utu wako ni zaidi ya chochote. Amuoe sasa huyo house maid!!
  6. S

    Je huu ni ushamba?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. S

    Ukweli kuhusu Kansa

    mbaya saana, na ina ua vibaya saana, kwa muda mrefu na mateso makali!! Mungu atunusuru na janga hili!!
  8. S

    Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

    big-up ushauri mzuri huo!!
  9. S

    Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

    acha kashfa mkuu!! Huyu mama kila siku huenda huko ofisi, Kama kazi anafanya kuweka mafuta ashindwe? Hata huyo jamaa pesa za mafuta ya gari anatoa hapo hapo, iweje kuweka kwenye gari ya mkewe iwe kesi? Yaani wake zenu mnawakumbuka mkiwa na matatizo tu! Vibaya hivyo!!
  10. S

    Zamu ya nani leo kushusha bendera?

    nani??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Back
Top Bottom