Recent content by Silentobserver007

  1. S

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Chief, kwanza niwie radhi kwa maneno makali niliyotoa awali, lakini tumefikia mahala ambapo upinzani (chadema to be specific) wanataka madaraka sana kiasi kwamba wanashindwa kucomment kwenye mazuri anayofanya raisi, uteuzi wake wanaubeza kwaajili ya chuki binafsi. Wanashindwa kutambua kwamba...
  2. S

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Watu kama nyie ndo mnaorudisha taifa nyuma. Mlianza kumponda Magufuli siku alipotangazwa kuwa mgombea CCM na ameshawaduwaza mkakaa kimya na akina tundu lissu na jazba zenu, akajitokeza yule punga wenu salum mwalimu kuropoka mara akaja nzi myika. Hakuna mnachosaidia zaidi ya kujaza pumba tu...
  3. S

    Siri yafichuka: Wabunge wanne walioteuliwa walikataa uwaziri

    Mtoa uzi una matatizo. Kama uko kwenye mstari wa kutumbuliwa basi huna budi we jiandae tu. We ndo unaonekana una jazba
  4. S

    Wafanyabiashara waweza kumuathiri Magufuli, ikiwa...!

    Puuuumba kabisa.. embu tafadhali naombeni muache huu umalaya wa chadomo sijui chichiemu nyie mlikuwa mnampinga Magufuli sijui ooh mfumo saivi anawafanyia makubwa mnasema maigizo sijui ilani za Chadema, bahati nzuri hana hasira za karibu bado atawatumikia watanzania bila ukabila wala ukanda...
  5. S

    Magufuli atashindwa kama Nyerere

    Manji ni mshenzi na ana tamaa ya kupindukia, raisi kishamwambia kuna maeneo mengine mengi yana fukwe nzuri zinaziweza kuendelezwa kupunguza congestion ya watu kwanini apang'ang'anie coco? Hii biashara ya the tich get richer the poor get poorer lazima iishe nchi hii majambazi kama manji inabidi...
  6. S

    Magufuli azomewa Mwanza

    Naona mwanza waliamua kwenda kumzomea kwa wingi jana. Nahisi hawa jamaa walijaa mpaka kwenye milima kule na kwenye maji wangesimama wangekuwa na uwezo.
  7. S

    Kweli chama kimepata mgombea

    Ukiitwa wewe pumbavu, ooh wametuita watanzania wapumbavu. Wewe ulipofika upeo wako umefika kikomo. Nishakwambia acha kelele nguvu uliyo nayo ni hiyo kadi yako ya kura tena kama hata unayo humu kupiga debe utapata ugonjwa wa moyo. Una jazba sana. Punguza kidogo.
  8. S

    Elections 2015 Magufuli asema Mafisadi wanamwogopa ndio maana hawataki aingie Ikulu

    Jiongelee mwenyewe ndugu, usiseme sisi, dunia hii kila mtu anaingia kivyake na anatoka kivyake hata pacha wako hamjaingia pamoja hata kama mmezaliwa siku moja. We subiri kupiga kura mwenye kushinda akabidhiwe kiti maisha yaendelee nini kulumbana bila hoja za msingi?
  9. S

    Elections 2015 Magufuli asema Mafisadi wanamwogopa ndio maana hawataki aingie Ikulu

    Mbona ukawa mna mihemko ila hatusemi? Tena mihemko haswaaaaa yenye mahaba na yule mlikuwa mnaambiwa ni fisadi mpaka gia ilipobadilika angani?
  10. S

    Kweli chama kimepata mgombea

    Hivyo ni unavyofikiria wewe, acha jazba subiri kupiga kura. Tatizo la watu wa ukawa hakuna atakachosema ama kufanya Magufuli au mgombea mwingine yoyote mtakachoona sawa mnatafuta negativity in everything. Ni vizuri kuwa mchambuzi kuliko mshabiki maana unashindwa kuona mengi. Pole sana ndugu.
  11. S

    Kwa matukio haya, lazima watu waichukie UKAWA

    Wewe ni mpuuzi wa kutupa na ninaomba sheria ya mitandao ikufikie haraka sana hatutaki watu kama wewe katika jamii, iwe ukawa iwe ccm watakaoshika dola naomba wakutafute wewe kwanza na ushetani wako mchochezi mkubwa na hayo unayoyaongea yatakufikia wewe maisha yataendelea. Ibilisi wewe umekaa...
  12. S

    Kwa matukio haya, lazima watu waichukie UKAWA

    Haya mambo hayatakiwi kufumbiwa macho nahisi watu wamerogwa ama wameingiliwa na mapepo wapenda amani tafadhalini chukueni tahadhari haya makundi yasituvuruge kabisa.
  13. S

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Kawadanganye wasiojua video editing na kwakuwa wako wengi wataamini kwamba hiyo video imekuwa edited wakati hakuna kiashiria chochote ndani yake cha kusema imepandishiwa sauti, namna pekee ile video kutengenezwa labda useme yule mtu anayeongea ni katuni amechorwa acheni kupumbaza umati nyie...
  14. S

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Ni hatari na inasikitisha. Tunazidi kuelekea kubaya.
  15. S

    CCM waumbuka Uwanja wa Taifa, Makamba akumbana na nguvu ya UKAWA

    Wewe ni muongo na utakatwa ulimi karibuni uwanja ulikuwa mtupu leo kwanini nyie watu wa ukawa mnajiaminisha na kujidhalilisha namna hii? Hata mkipewa kinyesi kuwaongoza mtashabikia.
Back
Top Bottom